Kwa kuwa MH Tundu Antipas anatembea ulimwenguni kote;akirejea serikali ifanye hivi dhidi yake kabla ya 2020!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Nashauri tu mimi kama raia! Kwa kuwa Lissu ni mtanzania mwenzetu na kwa kuwa Tanzania hatuna utaratibu wa kutekana na kuuana na kwa kuwa mimi naamini walio taka kumuumua walitoka nje ya NCHI

Basi Nashauri akirejea Tanzania tu, serikali yetu siku ya wanyonge inayopenda raia wake na wa hali ya chini.

IMRUHUSU TUNDU LISU AZUNGUKE NCHI ZIMA KUWAELEZEA WANANCHI WA TANZANIA KILICHOTOKEA SIKU HIYO MPK AENDE KUTIBIWA ULAYA!
PIA NASHAURI IMPE ULINZI MKUBWA SANAAA WA KESHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,181
2,000
Lissu anajisumbua subiri BBC waanze kumchoka kama Bobi, kwani ni kipi kisichokuwa na mwisho?

Kwa anayoyafanya Lissu yameongeza ujasiri wangu wa kuendelea kumpuuza na kuona elimu aliyonayo haimsaidii kitu,

Nakwambia kufika 2022 hatutakuwa na habari za Lissu tena, zitakuwa zinatrend nyingine, hivo na Lissu atakuwa kapigika sana kipindi hicho,
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
3,794
2,000
Nashauri tu mimi kama raia! Kwa kuwa Lissu ni mtanzania mwenzetu na kwa kuwa Tanzania hatuna utaratibu wa kutekana na kuuana na kwa kuwa mimi naamini walio taka kumuumua walitoka nje ya NCHI

Basi Nashauri akirejea Tanzania tu, serikali yetu siku ya wanyonge inayopenda raia wake na wa hali ya chini.

IMRUHUSU TUNDU LISU AZUNGUKE NCHI ZIMA KUWAELEZEA WANANCHI WA TANZANIA KILICHOTOKEA SIKU HIYO MPK AENDE KUTIBIWA ULAYA!
PIA NASHAURI IMPE ULINZI MKUBWA SANAAA WA KESHI

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda atasamia ulinzi mkubwa wa Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom