Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Wadau wa JF na Wazalendo,
Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.
Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango nayo.
Sasa kama zilitengwa mil 104 kwa ajili ya CHADEMA ili wawe wanajilipa na wao hawazitaki kisa tu wanadai walionewa Oktoba 28 mwaka 2020. Kwa nini zisihamishiwe kwenye sekta ya elimu?
Juzi hapa Naibu Waziri wa Tamisemi ameonekana kwa aibu huko Mtwara watoto wakimlilia wakitaka madawati na madarasa. Hizi pesa zikipelekwa huko zitasaidia watoto wetu.