Kwa kutumia demokrasia kamwe hatuwashinda mafisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kutumia demokrasia kamwe hatuwashinda mafisadi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BRUCE LEE, Dec 22, 2010.

 1. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu?ndugu zangu mi na maoni yafuatayo, kwa kutumia kura kamwe hatuwawezi mafisadi, pia kikwete ndio kinara wa ufisadi na kamwe hawezi watosa wenzie hivyo basi tusitaraji hukum ya haki dhidi ya akina chenge,lowasa,mramba na wengineo. Pia CCM,haitakubali kamwe kuachia madaraka,wamerithi utajiri mkubwa wa rasilimali frm tanu,na pia mafisadi wakubwa wamewekeza kwenye chama hicho.na mashaka na maisha ya DR SLAA,naamini kabisa wana mipango mibaya dhidi na hawako tayari kumuona akikubalika kiasi hiki, ni wajibu wetu kumpa na kumuombea ulinzi kwa mungu. Wakuu mi naona ni wakati muafaka wa kufikiri njia mbadala za kuwahukum watu hawa? kwanini tusi wa assasnet?inawezekana kabisa kama tukiamua, otherwise tutaendelea kuumia roho zetu, hao watu sio wengi sana tunaweza panga mipango ya kuwa uwa na kuifanikisha kirahisi tu, au nyinyi mna maoni gani? Ninacho amini people's power haindindwi kama ikiamua. Asanteni sana.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watanzania tungekuwa tunalalamika kwa kalamu siku ya uchaguzi nasema hawa mafisadi tunao walalamikia leo wasingalikuwako. Shangaa kuna weheme mafisadi wameshinda ubunge lakini wananchi hao hao bado wanalalamika !!!!!!!!!!!!!!!!!!!! sasa sijui watu kama hawa tuwaeleweje?
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  ndio maana nasistiza kwanini tusikubali kuwa sucrify viongozi mafisadi kwa faida ya kizazi chetu? Tuache ukondoo watanzania.
   
Loading...