Sita Sita
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 1,397
- 519
kweli jamaa ana hasira kwelio
Wana JF nimepita kwenye web link HII HAPA nikakuta document moja dated 26 Oct posted at 12:03pm
Inaonesha muandishi alikua ana hasira kali, its very interesting ila sijui kama ina ukweli wowote,
Wenye data watupatie
Hii nondo nilikuwa sijaipata iko cream
Sio hasira,jamaa kakereka kama wengi walivyokerwa na mfumo mbaya wa utawala na kuendekeza ushikaji kwenye mambo ya msingi yanayohusu mustakabali wa watanzania na Taifa kwa ujumla.