Kwa kutokufanya hivi, basi Mh. Rais utakuwa hututendei haki watanzania na tutakuchukia..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,291
1,195
Wakuu,
Nyote mnafahamu kwamba nchi yetu inapitia katika wakati mgumu sana kipindi hiki cha uongozi wa Dkt. JK Mrisho.. Kukiwa na utofauti mkubwa sana tena sana na kipindi cha Mwl. JK Nyerere..

Pamoja na matukio yote makubwa, hili lilioneshwa leo bungeni, la uvunjifu mkubwa zaidi na wenye ushahidi, wa haki za binadamu kwa mgongo wa zuia ujangili, linatisha zaidi..

Kutokana na uzito wake na udharura, natarajia na ningependa kumuona Mh. Rais wetu akirudi nchini mapema zaidi, chini ya hizo siku saba (hata kesho).. Apunguze siku za "ziara" ya kimatibabu huko kwa rafikie Obama..

Kwa kuwa ameenda kwa check up, ambayo ni scheduled na normal routine, sio kwamba anaumwa, basi anaweza kufanya wakati mwingine!

Aje aungane nasi katika haya 'maombolezo'.. Na kumpumzisha PM wetu!
 
Top Bottom