Kwa kusema Waingereza hawakuacha kitu Tanganyika baada ya ukoloni hata reli, je Prof. Kabudi yupo sahihi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,348
6,472
Prof. Kabudi asema waingereza hawakuacha kitu baada ya Tanganyika kupata uhuru - leo hii Tanzania Mainland, je historia yake ipo sahihi?
Hivi ile reli ya Tabora - Mwanza ni Mjerumani alijenga kweli?
Hivi huo mfumo wa demokrasia- na hapo ndani anaongea hivyo ni nchi gani iliuacha hapa Tanzania?
Hivi zile nyumba za 'uzunguni' katika mikoa mingi na wilaya ni Mjerumani ndio alizijenga?

Huyu ana hasira na Waingereza - waliliacha kabila lake masikini sana na kulifanya omba omba. Hakuna Mwingereza aliyekuwa interested na kabila la Kabudi, huo ndio ukweli unaomuuma.

Igwe Kabudi, are you serious?
 
Hawa ambao hawakuwa wanasiasa walipoingia tu huko kuna mambo yameyumba sana! msikilize huyo pamoja na polepole utagundua kuna kitu hakiendi sawa, aliyebaki na ufahamu wake kidogo ni Dk Bashiru
 
Aisee misukule ya ufipa ina kera sana kutwa kuwatetea mabeberu mara kutetea ushoga,wakoloni wote wamebeba pembe za ndovu millions of tone madini ya kila aina wakajenga reli ya kupitishia rasilimali zetu kupeleka europe alafu unakuja kujitapa wametuachia reli swains kabisa.
 
Prof. Kabudi asema waingereza hawakuacha kitu baada ya Tanganyika kupata uhuru - leo hii Tanzania Mainland, je historia yake ipo sahihi?
Hivi ile reli ya Tabora - Mwanza ni Mjerumani alijenga kweli?
Hivi huo mfumo wa demokrasia- na hapo ndani anaongea hivyo ni nchi gani iliuacha hapa Tanzania?
Hivi zile nyumba za 'uzunguni' katika mikoa mingi na wilaya ni Mjerumani ndio alizijenga?

hawakuacha kitu kwa upande upi labda maana hata Nyerere tu kusoma ni kwa sababu ya waingereza.. "Akutukanae hakuchagulii tusi".
 
Kila mtu yuko sahihi kwa maoni yake hivyo kwa Tanzania unaweza kuwa na 'maoni sahihi' milioni 55, lakini jibu daima ni moja ambalo linawakilisha ukweli. Kwa hiyo chunga sana usije kuangukia kwenye 'usahihi' wa waongopao!
 
kwani mkuu walivyochukua na walivyoacha vinalinganaaa? pili ka wangeweza kuondoka navyo wangeviachaaa? anaposema hivyo ukiwa ka mkuu na mtu mzima nadhani unapaswa kuelewa anachokimaanisha,
yani hawakuacha vitu unaweza sema ni vitu vya kumwachia mtu kwa kukusudia ila ilibidi viachwee maana wasingeweza kuondoka navyo.
 
Prof. Kabudi asema waingereza hawakuacha kitu baada ya Tanganyika kupata uhuru - leo hii Tanzania Mainland, je historia yake ipo sahihi?
Hivi ile reli ya Tabora - Mwanza ni Mjerumani alijenga kweli?
Hivi huo mfumo wa demokrasia- na hapo ndani anaongea hivyo ni nchi gani iliuacha hapa Tanzania?
Hivi zile nyumba za 'uzunguni' katika mikoa mingi na wilaya ni Mjerumani ndio alizijenga?

Itakubidi urudi tena shule usome upya historia ya Tanzania.
 
Tunaweza kumshangilia Prof.Kabudi tukidhani kaongea kizalendo sana,lakini hizi si kauli za kutolewa na Waziri wa Mambo ya Nje kwenye mimbari ndani ya bunge.

Hizi sio diplomatic phrases,it is not a diplomatic tone to be spoken inside the parliament.Huwezi kama waziri wa Mashauriano ya Kigeni,kujibu hoja za wabunge kwa kuyashambulia mataifa ya nje na kuyashutumu.Kusema Wazungu wajinga ni wengi,mara nimesoma nao nikawashida,wazungu ni wezi mara ni wanyang'anyi,ni aina ya kauli zenye ukakasi wa kidiplomasia.

Hii nafasi ya Uwaziri,ninadhani,yaani ninadhani haikumfaa Kabudi.Kabudi anaongea kwa tone ya Ukufunzi,hicho anachoongea si cha bungeni,ila ni cha darasani.Anapokuwa anafundisha concepts za Legal Cultural Anthropology ndio unaweza bwatuka hivi.

Unayataja mataifa kwa kuyasimanga kuwa yaliuwa Wayahudi...ni ajali ya ulimi kidiplomasia.Huu mzuka ni wa Lecture ili watu wa opt courses zako unapokuwa chuoni,sio mzuka wa kidiplomasia huu.

Wampige msasa huyu Prof,ili aone tofauti ya mimbari za bungeni na zile za Yombo Theatre
 
Tunaweza kumshangilia Prof.Kabudi tukidhani kaongea kizalendo sana,lakini hizi si kauli za kutolewa na Waziri wa Mambo ya Nje kwenye mimbari ndani ya bunge.

Hizi sio diplomatic phrases,it is not a diplomatic tone to be spoken inside the parluament.Huwezi kama waziri wa Mashauriano ya Kigeni,kujibu hoja za wabunge kwa kuyashambulia mataifa ya nje na kuyashutumu.Kusema Wazungu wajinga ni wengi,mara nimesoma nao nikawashida,wazungu ni wezi mara ni wanyang'anyi,ni aina ya kauli zenye ukakasi wa kidiplomasia.

kabudi ni mr prp, pia yawezekana hakuyazingatia yote hayo ila mpaka yeye kuwekwa pale jua ilionekana anafaa maana kabudi waleo ni yuleyule wa miaka ile,
 
Kuna mambo yakuongea chumbani na mengine yakuongelea sebuleni.
Hekima huongoza utambuzi lipi liongelewe wapi. Kwa kiongozi kukosa hekima ni hatari.
 
Tunaweza kumshangilia Prof.Kabudi tukidhani kaongea kizalendo sana,lakini hizi si kauli za kutolewa na Waziri wa Mambo ya Nje kwenye mimbari ndani ya bunge.

Hizi sio diplomatic phrases,it is not a diplomatic tone to be spoken inside the parluament.Huwezi kama waziri wa Mashauriano ya Kigeni,kujibu hoja za wabunge kwa kuyashambulia mataifa ya nje na kuyashutumu.Kusema Wazungu wajinga ni wengi,mara nimesoma nao nikawashida,wazungu ni wezi mara ni wanyang'anyi,ni aina ya kauli zenye ukakasi wa kidiplomasia.

Hii nafasi ya Uwaziri,ninadhani,yaani ninadhani haikumfaa Kabudi.Kabudi anaongea kwa tone ya Ukufunzi,hicho anachoongea si cha bungeni,ila ni cha darasani.Anapokuwa anafundisha concepts za Legal Cultural Anthropology ndio unaweza bwatuka hivi.

Unayataja mataifa kwa kuyasimanga kuwa yaliuwa Wayahudi...ni ajali ya ulimi kidiplomasia.Huu mzuka ni wa Lecture ili watu wa opt courses zako unapokuwa chuoni,sio mzuka wa kidiplomasia huu.

Wampige msasa huyu Prof,ili aone tofauti ya mimbari za bungeni na zile za Yombo Theatre

Wampige msasa wa maneno yapi ya kutumia na mahala gani.

Ila si kwamba yeye mwenyewe hafahamu.

Lakin kauli zake kalikali zinaashiria hasira na "pressure" iliyo nyuma yake, hivyo kama binadamu aangalie uwezekano wa kuchukua vekesheni.

Anaweza kabisa kuwachanganya mabalozi na wakamwomba ufafanuzi wa kauli zake na watamalizana kimyakimya.

:confused::confused:
 
Huyu prof. Amesha wahi kuandika kitabu???
Na kama kuandika, katumia kisukuma au kijerumani?
Tangu aingie chuo kikuu alikua anatumia lugha gani?
Hii legal system anayoijua ni ya kisukuma?
 
Walujenga hawakujenga we dont care, mwisho wa siku ni resources zetu ndio zilijenga, ni babu zetu ndio walijenga, all kusaidia mali zetu zifike kwao kirahisi.
 
Back
Top Bottom