kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

ningekuwa nakufundisha ningekukamata na nisingekuachia mpka udisco sio kwa sababu ya kuwapa ccm kula ila kwa uwezo wako mdogo wa kufikiria inaelekea ukiendelea utakuwa mbegu mbaya na uko tayari kuuza nchi kwa kipande cha sabuni.
kwa kifupi hufai kuaminiwa katika sehemu yeyote kwa kuwa unaonekana wazi wewe ni mpokeaji rushwa.
sina ubaya na wewe kuipigia kura ccm lakin kama vigezo ndo hivyo hufai kabisa na si dhani kama humu kuna kufaa binafsi sina chama lakni huu ulioongea ni upuuzi na unaonyesha uwezo mdogo hata wa kupambanua mambo na sina uhakika kama umesoma shule zetu zile za kwenda na fagio na dumu la maji lazima umesoma shule za kumbembelezwa na ndani ya ratiba kwa siku kuna kulala wewe ni zaidi ya kilaza
pole sio mimi ni vidole vyuangu.
 
Hawa ndio wanaliwaga pesa eti wapewe ajira Idara ya Usalama wa Taifa!! sasa hapa unategemea tuzalisha product gani kama siyo ujinga plus plus!!
 
Anachangamsha barza tu! Inafaa thread hii ipelekwe kwenye jukwaa la hoja na habari mbalimbali..
 
wewe, pamoja na wale wanaokubaali kuhongwa kwa t shirt na kanga, yafaa mfungwe jiwe la kusagia ngano mgongoni na mtoswe baharini. Kwa maana wewe ni hatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
 
hiyo ni zawad yangu kwao...vp wadau mnaniunga mkono????
Ukanunue sub-woofer, t-shirt na jeans, uende na club na utafute kadem kakukusaidia kula huo mkopo. Ila ukicheleweshewa, usithubutu kuandamana!
 
tehe tehe umekoma kupost ushuz ona sasa matusi hayo kwikwikwikwikwiki
 
hahaaaa wanajamvi msameheni...hicho kilikuwa ni KIRARURARU chake cha kupewa mkopo
 
yap usiwe mchoyo wa fadhila akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. wazee wako kijijini wanahongwa kapelo na kanga wanaipigia CCM kura sembuse wewe elimu.
 
Back
Top Bottom