Kwa Kumsaidia Utamwambia Maneno Gani??

Kuna bwana mmoja kanzu ilimuingia ivo,mwenzie akaona njia ya kumsaidia ni kuichomoa,jamaa kwa hasira akamkunja na kumwambia kwa nini uniguse kanzu yangu?mwenzie akamwambia samahani basi ngoja niirudishie ilivyokua!you can guess nn kilitokea!
 
Kama wewe ni mwanaume na umeona kitu hicho, kimaadili hutakiwi kuingilia. Ila kumsaidia unatafuta mwanamke na kumwomba ampashe habari mwenzake. Hiin kitu ilishanitokea kanisani, nikajifanya sijaona kitu ila nilimkonyeza mama mmoja pembeni yangu asaidie!

nice approach..!!!!!!
 
Namdondoshea k2 aokote akiinama kuokota na kisha kuinuka mnato utamwingia vzur so atachomoa mwenyewe.....
 
Hiko huwa kinaitwa KIPWINTO, ukiona hivyo unamtafuta mtu wa jinsia yake alyepo karibu ili akamtoe na kama hamna huwa natulia kimya kiroho safi..
 
Kuna bwana mmoja kanzu ilimuingia ivo,mwenzie akaona njia ya kumsaidia ni kuichomoa,jamaa kwa hasira akamkunja na kumwambia kwa nini uniguse kanzu yangu?mwenzie akamwambia samahani basi ngoja niirudishie ilivyokua!you can guess nn kilitokea!
You made my day mkuu.
 
jaman, hii si night dress mtu kavaa anataka kujitupa kitandani!! sasa arekebishe ya nin!!
 
Hiyo si ndio Physics mkuu.....''all bodies\objects are attracted towards the centre of gravity'':lol:
 
Back
Top Bottom