Kwa Kumsaidia Utamwambia Maneno Gani??

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,528
1,107
Ili arekebishe nguo yake!!
 

Attachments

  • ndani.jpg
    ndani.jpg
    14.3 KB · Views: 1,605
umwambie yanini wakati anakisogelea kitanda hapo....ataenda ondolewa huko kwa kitanda....!!:nod:
 
Kuna watu wanafaidi jamani.....kha!!!!!:):D:p:-]<3:-S:-/:'(
 
Kama wewe ni mwanaume na umeona kitu hicho, kimaadili hutakiwi kuingilia. Ila kumsaidia unatafuta mwanamke na kumwomba ampashe habari mwenzake. Hiin kitu ilishanitokea kanisani, nikajifanya sijaona kitu ila nilimkonyeza mama mmoja pembeni yangu asaidie!
 
Back
Top Bottom