Kwa kumsafisha Jairo:Ludovick S. L. Utouh nawe Jiengue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kumsafisha Jairo:Ludovick S. L. Utouh nawe Jiengue

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 19, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  kama tunakumbuka vyema baada tu ya kugundulika kuwa Mh Jairo alichangisha mamilioni ya pesa kwa ajili ya kukilimu wageni kinyume na utaratibu wa serikali, Ludovick S. L. Utouh MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI alimsafisha Mh JAIRO Na kuweka wazi kuwa hakukuwa na makosa yeyote yale aliyoyafanya Mh

  kwa kuwa kamati ya bunge imemkuta na hatia Mh Jairo basi haina budi na Ludovick S. L. Utouh aka jiengua na kukaa pembeni kwa upotoshaji alioutoa

  nawasilisha
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa unasisitiza au unakazia mapendekezo ya kamati?
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wewe waonaje mkuu
   
 4. m

  mjaumbute Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo mbona yametamkwa bayana na kamati bado utekelezaji tu kupitia ofisi ya Rais. Kama Rais hataki ugomvi na Bunge hutekelezaji ni dhahili., na asipotekeleza watapiga kura ya kutokuwana Imani nae . Patamu hapo
   
 5. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pia mtoa maada kumbuka Jairo siyo mheshimiwa.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,390
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Mi thijakuelewa
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sure!
  Naamini Engineer Mtolera hajapata nafasi ya kutosha ya kusoma ripoti ya kamati!
   
Loading...