w0rM
Member
- May 3, 2011
- 68
- 164
Wakuu,
Kuna taarifa zinasambaa kwenye social media zikidai Kaimu Balozi wa Marekani amekutana na viongozi wa Upinzani (ACT-Wazalendo) na kuwa kwa kufanya hivyo amevunja Mkataba wa Diplomasia.
Dkt. Inmi alikutana na Maalim Seif weekend hii.
Je, ni kweli pale anapokutana na wapinzani ndo anavunja mkataba huo au ni kigezo gani kinatumika kupima kama mkataba wa Vienna umevunjwa?
Balozi huyu pia aliwahi kukutana na CCM mnamo mwaka 2017 na hatukusikia kelele hizi
Unaweza kusoma hapa:Humphrey Polepole afanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Marekani Ofisi ndogo Lumumba-Dar
Aidha, mnamo 2018 Balozi wa China alikutana na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM (wakati huo) na hatukusikia kelele hizo
Ni mnamo mwaka 2013 pale Balozi wa China alipoonekana kwenye jukwaa la kisiasa la CCM ndipo CHADEMA walilalamikia uvunjwaji wa taratibu za kidiplomasia na bado CCM walitetea kuwa hakukuwa na makosa