Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,276
- 37,397
Humu JF watu wa aina yako hatufiki 5. Nafikiless people. Big up.Nakubaliana na Wewe na hili pia Mkuu ila nataka tukemee hii tabia mbaya ( Utamaduni wa Kihuni ) ambao hata Sisi Simba SC pia tunao na Mimi kama GENTAMYCINE ( mwana Simba SC Mwenzako ) nalijua na hata nimeshawahi Kulishuhudia pia.
Tuache Unafiki wa Kuisema ( Kuikandamiza ) tu Yanga SC ila nasi pia tujikosoe kwa Afya ya Mpira wa Miguu wa Tanzania. Tena huenda Uchunguzi ukifanywa zaidi Sisi Simba SC tutakuja Kuumbuka zaidi.
Rejea tukio zima la Mchezaji Ulimboka Mwakingwe Simba SC ilipocheza na Mtibwa Sugar FC. Isingekuwa Mzee Kova ( RPC Mstaafu Dar es Salaam na mwana Simba SC Mwenzetu ) huyu Ulimboka alikuwa anaenda 'Kuozea' Jela.
Rejea Kauli ya zamani ya Kipa Shaaban Kado wa Mtibwa Sugar FC na hii ya Ramadhan Kabwili ya miaka ya karibuni wote wakiituhumu Simba SC kwa 'Uhuni' huu ambao leo 'tunawacheka' nao Watani zetu Wakubwa Yanga SC.