Kwa kuangalia hizi data za GDP. Nchi ipi ina uchumi mzuri?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,322
Ukiangalia kwa haraka Nigeria ndio yenye GDP kubwa lakini binafsi naona south africa ndio yenye uchumi mzuri.

Watalaam tunaomba conclusion.

IMG-20200609-WA0005.jpeg
 
Nchi a Afrika bado sana aisee yaani hakuna yenye GDP Trillioni moja ?
 
GDP ni jumla ya thamani za bidhaa na huduma zilizofanyika kwa mwaka ktk nchi husika. Unaweza ukawa na Shughuli Zenye thamani Kubwa lakini zisiwanufaishe wengi...kukiwa na Economic growth sio lazima kuwe na Economic development.. Compare Nigeria na South Africa....
 
GDP ni pato la jumla la taifa katika kipindi maalumu.

Per Capita ni pato la mtu mmoja mmoja katika nchi husika pale ambapo pato la taifa linapogawanywa kwa raia wote.
 
Nadhani per capital ndio muhimu zaidi
GDP ni jumla ya thamani za bidhaa na huduma zilizofanyika kwa mwaka ktk nchi husika. Unaweza ukawa na Shughuli Zenye thamani Kubwa lakini zisiwanufaishe wengi...kukiwa na Economic growth sio lazima kuwe na Economic development.. Compare Nigeria na South Africa....
 
Kwahiyo hapo GDP yetu,Kenya,Ethiopia na Angola ndio sawa na South Afrika!!!
 
Maana ya GDP-
Gross domestic Product
tanzania tuna export kitu gani umbeya tu umetamalaki
Nigeria wana haki ni mafuta
 
Back
Top Bottom