Tanzania chini ya magufuli tunatisha,yaani miflyover na midege yote hii bado kipato Cha mdanfanyika ni book mbili kwa siku?Ukiangalia kwa haraka Nigeria ndio yenye GDP kubwa lakini binafsi naona south africa ndio yenye uchumi mzuri.
Watalaam tunaomba conclusion.View attachment 1473029
GDP ni jumla ya thamani za bidhaa na huduma zilizofanyika kwa mwaka ktk nchi husika. Unaweza ukawa na Shughuli Zenye thamani Kubwa lakini zisiwanufaishe wengi...kukiwa na Economic growth sio lazima kuwe na Economic development.. Compare Nigeria na South Africa....
GDP ni pato la jumla la taifa katika kipindi maalumu.
Per Capita ni pato la mtu mmoja mmoja katika nchi husika pale ambapo pato la taifa linapogawanywa kwa raia wote.
Hadi tubadili mifumo ya uongoziNchi a Afrika bado sana aisee yaani hakuna yenye GDP Trillioni moja ?
Hasa tukiwaondoa ccm madarakaniHadi tubadili mifumo ya uongozi
Hata wao wenyewe wanakiriHasa tukiwaondoa ccm madarakani