Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Iko hivi mwaka mmoja na miezi miwili tuliingia kwenye mahusiano na binti au mwanamke miaka 25 kwa lengo la kuoana na ilikuwa imebaki miezi 4 tufunge ndoa

Najua kwa umri huo hawezi kukosa ex maana si bikira na sikuwahi kumuuliza historia ya maex wake maana haileti maana

Siku moja niliamua kupitia account zake za mitandao ya kijamii ingawa niliperuzi kwa comments za marafiki zake walizokuwa wakizitoa alipokuwa akipost picha nikagundua kupitia comment zile jamaa Fulani atakuwa ex wake maana zile comments zilikuwa si za kawaida

Basi nikachukua picha ya yule jamaa nikatengeneza account whasap kwa namba nyingine ya asiyoijua kuwa ni yangu

Nikajifanya ex wake nikamtext akajibu tena kwa kuniita jina la ex wake huyo si ni baada ya kuona picha yake

Akawa analaumu kwa nini nilimuacha bila sababu na nataka nini kwake?

Nikajifanya kumuomba msamaha na nikimkumbusha tumetoka mbali naye,hakuendelea kujibu akakaa kimya

Turudi Mimi mwenyewe ili niamini huyu mwanamke ana msimamo na hawezi kurudiana na ex wake nikafanya jambo

Jambo lenyewe nikasafiri ghafla na sikumuaga na nikazima simu na sikuwa online kwenye mitandao ya kijamii

Usiku nikajifanya ex wake nikaanza kukomaa turudiane,akawa anakataa,nilikomaa naye kuanzia saa 5 hadi saa 9 akawa amekataa

Katika maongezi yale ya siku hiyo ndo nikagundua jamaa amewahi kumpiga ujauzito wakachomoa

Basi kesho yake saa 8 mchana nikamuona online nikamfuata tena ,awamu hii hakuwa na nyodo akawa anajibu kwa ulaini

Nikachochea moto wa kubembeleza ,akanambia atanijibu baadae

Ikawa usiku kama saa 7 hivi nikawa namuona online muda mrefu bila kumtext ,akanitext "Mambo" nikareply haraka sana,nikamuuliza hujalala akajibu bado

Nikarudi kwenye mada ya kurudiana .Daah! Unajua akakubali na amesahau kuwa ni mke wa mtu wa hivi karibuni

Ila akanipa masharti kuwa tutarudiana na hata kama anaolewa mapenzi yetu yataendelea kama kawaida ila niwe na nidhamu kwenye ndoa yao,nimheshim mume wake,nikifanya hivyo hawataachana licha ya kuolewa,nikamwambia poa ,akaomba nimpe mchango wa harusi kama laki moja .

Moyo wangu umeamia sana kwa huyu mwanamke,nimerudi mjini nikawa hewani na kuomba msamaha wa kupotea siku mbili ila nawaza sana

Naamua kuvunja mahusiano .

Ushauri wenu jamani,kumbe kuna umuhimu wa kuoa bikira ,kumbe maex hawaachani?
 
Mkuu hakuna mke hapo, Kmbia kabisa ...
Cc@Jokajeusi ...Oa mwanamke Bikra.
 
😂😂😂 sasa umeshamtengenezea mkulungwa njia kiulainiiii .

N.b
Kama unataka kuvunja mahusiano uwe na ushahidi concrete maana hizo meseji anaweza kukugeuka akasema alishajua ni wewe ndo akaamua kukuzingua.

Na pia una uhakika gani kwamba hakumfuata jamaa facebook pm huko akamuuliza kama ni namba yake?

Na unadhani chatting yako na ya jamaa haijui?
 
sasa umeshamtengenezea mkulungwa njia kiulainiiii .

N.b
Kama unataka kuvunja mahusiano uwe na ushahidi concrete si maana hizo meseji anaweza kukugeuka akasema alishajua ni wewe ndo akaamua kukuzingua.

Na pia una uhakika gani kwamba hakumfuata jamaa facebook pm huko akamuuliza kama ni namba yake?

Na unadhani chatting yako na ya jamaa haijui?
Hayo ni machache sikuandika yote ,nilivyokuwa namuingia kisaikolojia alidhani ni ex wake na kueleza yote waliyokuwa wanayafanya
 
All in all ujipange mkuu maana kupangua hii hoja kwa mwanamke anayetetea ndoa yake ni rahisi sanaaa .

Na kingine ikatokea umeoa jua umeshamtengenezea jamaa njia kiulainiii kabisa .
 
Mbona Kama vile wewe ndio unamatatizo mkuu ...

Anyway ...!!!Mwanakulitafuta mwanakulipafa
Mkuu nimegundua wanaume wengi mnagongewa na maex wao,ingawa nimefanya makosa ila nimegundua huko mbeleni ningeua ,kama ndo hivi first born anaweza akawa wa jamaa yaani tungegawana watoto kati yangu na jamaa halafu unaambiwa wote ni wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom