Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,997
- 103,382
- Thread starter
- #61
Sioni mahakama ikiwajibika kwenye hili, maana wao ni sehemu ya huu uchafu wa kuvunjwa kwa sheria za nchi.Twambieni nani aliingia kwenye stoo/masijala ya Mahakama na kuiba ile nyaraka na kuwapelekea washitaki wa Mbowe? Funguo za hicho chumba walipata wapi? Kila mahakama ina mkubwa wake. Awajibike kwa kosa hilo la wizi wa Nyaraka na kuwapelekea polisi wanaomshitaki Mbowe, eti alitaka kumdhuru Sabaya