Kwa kina dada tu; ingekuwa wewe ungefanyaje?

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,466
Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.

Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room katika hotel nzuri tu! Jioni umekaa kwenye balcony unaangalia chini kwenye garden unamuona mume wa shosti wako na msichana mwingine wakula dinner na mishumaa ikiwaka huku wanashikana mikono kwa mahaba! Moyo ukakulipuka; ukaamua kuchukua camera, akazoom na kuwapiga. Baadaye wakaamka na kuelekeanda ndani (hotelini).

Kumbuka mwanamume hajampa shosti wako reason ya kumdoubt! Maelewano yao ni mazuri tu, kama yalivyo ya kwako!

What is the right thing to do? Both morally and logically?

<br /
nina ushaur mzur sana, tatizo mi co dada.

hivi hii simulizi ni ya kina dada tu.........................mbona hata siye twaweza kuchangia tu hapo..................................umetubagua mno..............

tunalazimika na Ruta....hebu toeni ushauri wenu

<br /
angeenda kuwasalimia tu_haruhusiwi kufanya kitu kingne, kwa wale ambao hawajazaa(hawajabahatika/wameona hiv karibuni) wakipewa fursa ya kufanya uchaguz tena 90% hawatarudiana preta, though wengne ni tabia na wengne mis_satifaction kwny ndoa zao_in short hakuna alphabets au fomulars za utatuz_majority hukimbilia kwa kujikinga kwa kuzishika vilivyo amri za M/mungu kama kuoka na mengne meng lakn pia huko huko utasikia padr/askof anagonga mzigo wako_jambo la msing muombe Mungu ktk sehem ya mtihan wako wa maisha swala hili lisiwemo

hivi hii simulizi ni ya kina dada tu.........................mbona hata siye twaweza kuchangia tu hapo..................................umetubagua mno..............

Najua mtakachochangia ndio maana naomba kina dada tu! Halafu nini, mkisoma michango hiyo mtakuwa kwenye better position ya kucomment au kujitetea ikibidi! LOL

Nadhani hayo niliyoyaona nimeyaona kwavile I happened to be there @ that time,so ningeyaachia hukohuko...

kuna siku niliingia duka moja Eastgate mall, na nilimkuta mume wa shosti wangu na mdada mmoja wanafanya shopping ya nguvu na vicheko juu na kupimishana nguo...esp Bra's na G strings

Wakati naondoka yule dada aliniona lakini nadhani hakuwa na kumbukumbu amenionea wapi....

Mimi wala sikumwambia huyo shosti wangu wala sikujishughulisha na hiyo issue baada ya kurudi.

Kuna siku nilialikwa kwenye suprise birthday party ya huyo shosti kama miezi 2 iliyofuata na katika zawadi nyingi alizopatiwa na mumewe ni zile nilizoona zikiwa fitted kwa yule dada, hivyo alienda naye pale ili apate correct wifey fittings na si zaidi

Wakati tumekaa ndio yule dada mfanyakazi mwenzie na huyo mume wa shosti wangu akasema nakumbuka tulionana wkt wa shopping ya hizi nguo na akasema nimekufananisha maana unakuja kwenye clinic kwangu,

Nikajiwazia kama ningemuambia shosti kwanza ningewreck marriage yake, na clinic ingeota mbawa, halafu sikuwa na uhakika anyways.

Mimi nadhani haya mambo si ya kusema, sanasana wa kumface ni huyo mume unamwambia nimekuona...! Ili ajue kuwa next time kinanuka

Thanks Nsiande;
Nimekupata, kwamba muda mwingine things r not the way they look!

Nimeipenda hiyo ya kumconfront mwanamume!

hapo unapiga kimya usivunje ndoa mbna hata wewe watu tumekupigia kimya

Unapiga kimya huku unaona ndoa ya shostito inaingia ibirisi? Huoni ni vyema kumwambia shosti ili ajue what she is into! Ukizingatia anamuamini sana mumewe kiasi kwamba kucheck afya ni kipindi cha kuanza clinic tu!

Na si ajabu amenuaga kaenda kijijini kwa wazazi!

mi naona bora kupiga kimya....ili kunusuru ndoa ya watu....na kuepusha uadui....

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom