Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,651
13,792
Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa kwenzi la wastani la utosi, basi huyo mtoto mchokozi hulia na kukimbilia kusema kwa mama/baba.

Hiyo ndiyo imekuwa tabia ya Kenya miaka nenda miaka rudi. Wamekuwa akiichokoza Tanzania kwa mambo mengi ambayo nikianza kuyaeleza hapa, basi yanaweza kuchukua masaa chungu mzima. Lakini kwa uchokozi huo, Tanzania ilikuwa inaenda kwa upole na kumbembeleza mdogo (mtoto) kenya ya kuwa aache kufanya hivyo, kwani hiyo siyo tabia nzuri. Basi akiambiwa hivyo kwa upole, kichwa kinavimba na kujiona yeye ni shujaa.

Baada ya muda mrefu kuwa na tabia hiyo sasa mkubwa Tanzania amechoka, naye kaamua kumtia adabu huyu mtoto mtukutu asiye na soni. Sasa ni kupewa kwenzi mfululizo (kama tatu hivi) za utosini. Matokeo yake ni kilio na kugalagala chini na kujipaka vumbi. Kwa nini hilo linatokea?

Ni kwa sababu hakuzoea kutiwa adabu na wakubwa kwa tabia yake ya kukosa adabu. Nisikuchoshe.
Endelea kusoma gazeti hilo hapo chini.

Gazeti la Kenya.jpeg
 
Watanzania wamekuwa "mazwazwa"!...ni upumbavu wa watanzania kufikiria kwamba Kenya haiwezi kufanya shughuli zake bila Tanzania!
Kenya haina tofauti na "developed"countries they are getting everything from Europe sasa sijui Tanzania tatizo letu ni nini.

Kitu ambacho wengi kama wewe hawakijui, ni kuwa kenya has two worlds. The first world (a small group) which comprises the majority whites and few Afrikan elites. This group of people can order anything (as you have said) from anywhere in this world. Actually, this group is of the upper income people. Another world (a bigger group) is the one which comprises majority of Afrikans. This group is poor. Some members of this group can even not afford a mill of a day. So, the thinking of that kenya comprises of rich people is illusion.
 
Back
Top Bottom