nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
- Thread starter
- #121
Wewe umewaza kienyeji Sana.Angemsema faraghani tusingeamini, sisi wakupinga kila kitu tungesema Jiwe anamuogopa Abood.
Kilichotokea ni uvunjifu wa maadili ya utumishi wa umma.
Mbona yeye hataki kukosolewa au mnamwona hakosei?
Ninyi mnaomtetea jiwe, inaonesha hata ktk ndoa zenu Hanna nidhamu, mwenza akikosea hadharani au mbele ya watoto unamlipua hapohapo.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app