Kwa kilichotokea Mombasa Kenye, kwenye kivuko cha likoni, kinasikitisha na kimeonyesha udhaifu wetu nchi za Afrika.

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
5,374
5,015
Hivi watu wanatumbukia baharini, alafu siku inakatika bila harakati zozote za uokoaji, harakati za kuendesha vivuko, zinaendelea kama hakuna kilichotokea.

Kivuko kinaendeshwa bila vifaa vya uokoaji wala wazamiaji, waliotayali pindi ajali inapotokea.
Eti watu wanakaa vikao, vya kujadili ajali hiyo badala ya kufanya juhudi za uokoaji kwanza, alafu ndipo vikao vifuate, Afrika bado tupo nyuma sana huduma zetu nimeumia sana kwa tukio hili.

Ndugu wa waadhirika ndiyo wamekodi wazamiaji binafsi kufanya uokoaji.

Naomba MOD, editi title isomeke kenya. Badala Kenye.
 
Halafu wakenya wa Jf wanakuambia Kenya imekuwa ya kwanza blah blah kwenye nchi zenye uwezo mkubwa wa kupambana na majanga na uokozi Africa.

Pride is the mother of arrogance
Kwa hili naona wakenya ni kama nnya yaani they are USELESEST.
ingekua kwetu majeshi yetu, mkuu wa mkoa, raia wema, vibaka, RPC, hata rais ungemuona pale. I love umoja wetu.
 
Halafu wakenya wa Jf wanakuambia Kenya imekuwa ya kwanza blah blah kwenye nchi zenye uwezo mkubwa wa kupambana na majanga na uokoziAfrica.

Pride is the mother of arrogance
Kitu kibaya tumejijengea tabia ama mazowea ya kulalamika, ambayo ni dalili za kukwepa uwajibikaji. Ajali nyingi sana duniani zinaepukika,kama kila mmoja atafuata wajibu wake, iwe angani, majini na nchi kavu. Mimi sielewi ni kwa vipi gari limo kwenye kivuko na abiria ndani yake????. Mwendesha pantoni na wafanyakazi wake wana wajibu kahakikisha kila gari halina mtu ndani kabla kuanza safari, dereva ana wajibu kulipaki humo kivukoni kuweka breki na kushuka, abiria wote wengine ni wajibu wetu kupigia kelele kama hayo hayakufanyika.
 
Unalolisema ni shh. Gari likiwa ndani ya boat/panton haitakiwi abiria kuwa ndani ya gari. Lkn kumbuka kuna abiria wakimiliki gari wanakuwa na nyodo zinazotia kinyaa.
 
Na hii nayo ilitokea kwenye kivuko hicho hicho kuna uzeme hapa.
 
Kwa uzembe huu. Kenya hakuna navy
Ahahahaaaa watakua wameenda Somalia mkuu wale madem wenye mafunzo maalum,siunajua kuna kazi ya kulinda wakenya kule. Acha hawa wa huku wafe kama ndugu zao hawahangaiki.
 
Nimeona gari inazama watu wanaiangalia tu ila hakuna ambaye angewaokoa maana gari lazima lingefika hadi chini.

Wamekufa wakijiona wanakufa. Mtoto akimlilia Mama, Mama akimlilia Mungu
 
Nimeshangaa Sana, na nimeumia! Mtu anazama maji yaani zaidi ya saa 20 hakuna kilichofanyika cha uokozi?

Hili limethibitisha jinsi wakenya wanavyofeli, ni dhaifu!

Siye watz inshu kama hizi huwa watu wanajitolea sana. Mapema tu huyo maza angesaidiwa.

Wakenya ushirikiano ni 0 kabisa.
 
Unalolisema ni shh. Gari likiwa ndani ya boat/panton haitakiwi abiria kuwa ndani ya gari. Lkn kumbuka kuna abiria wakimiliki gari wanakuwa na nyodo zinazotia kinyaa.
Unaona! Awe na chochote kile anachotaka kuwa nacho, unapokanyaga kwenye chombo, captain ndio ana mamlaka. Ila kwa kushindwa kuutimiza wajibu wake matokeo ndio hayo. Hebu ajaribu kupanda ndege halafu umkatalie mfanyakazi kufunga mkanda tu wakati wa kupaa, rubani akijua wanakushusha. Korea ya Kusini ni mfano, alishushwa mtoto wa mmiliki wa kampuni ambaye alikuwa mkurugenzi Korean air kwa kutoa lugha ya kejeli tu!! Airline industry iko strict na ndiyo maana ni salama zaidi.
 
Nimeshangaa Sana, na nimeumia! Mtu anazama maji yaani zaidi ya saa 20 hakuna kilichofanyika cha uokozi?

Hili limethibitisha jinsi wakenya wanavyofeli, ni dhaifu!

Siye watz inshu kama hizi huwa watu wanajitolea sana. Mapema tu huyo maza angesaidiwa.

Wakenya ushirikiano ni 0 kabisa.

Hapo hakuna Uokozi bali panahitajika Uopozi
 
Back
Top Bottom