Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Upo sahihi... Argentina inanafasi kubwa yakubeba World Cup mwaka huu... Nikwamba FIFA haita muacha Leo 10 astaafu soka bila kupata kombe hili... Hii ndio sababu kubwa na sisababu yakikosi hiki.... Na finally ni nchi mbili za America ya kusini
 
Win which world cup??? Because it's definitely not the one in Russia :D:D
 
Upo sahihi... Argentina inanafasi kubwa yakubeba World Cup mwaka huu... Nikwamba FIFA haita muacha Leo 10 astaafu soka bila kupata kombe hili... Hii ndio sababu kubwa na sisababu yakikosi hiki.... Na finally ni nchi mbili za America ya kusini

Kumbuka Kipa wako ni Romero
Beki zako ni za akina Otamendi
 
Wacheza Rede Kama Hawa Wanaojifanya Wachambuzi Uchwara Huku Wakiwa Hawaujui Mpira Ndiyo Wanaoifanya JF ionekane Kama Facebook!!
Moderators wakati mwengine Nyuzi Kama Hizi Za Kipumbavu Muwe Munazifuta Bhana zisitie aibu.
Kuna wachambuzi uchwara wengine walituambia livapuli atabeba uefa, hawa nao mod wanatakiwa kuwafutilia mbali.
 
Back
Top Bottom