Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Kikosi kizuri ila mpira kitu kingine aisee. Timu inaweze ikawa nzuri ila makosa madogo kabisa yakaigharimu timu mazima. Au unaweza kuta timu nzuri ukashangaa wanapoteana.

Kabisa! Siku hizi saikolojia ina nafasi kubwa sana kupata ushindi. 1998, Brazil alipigwa na Ufaranza 3-0 kutokana na mfadhaiko alioupata Ronaldo siku moja kabla ya mechi. Hali hiyo ilivunja morali ya timu nzima. Wafaransa baada ya Zidane kutolewa waliishiwa nguvu wakapoteza kombe kwa Italia. Masserati beki wa Italia inawezekana alimuudhi Zidane makusudi ili afanye faulo atolewe. Huwezi kujua mambo haya ya mpira wakati mwingine.

Kadhalika majuzi mwaka 2014 mbele ya Uerumani, kocha wa Brazil, Scolari alipaniki sana baada ya Thiago Silva kupewa kadi ya pili ya njano na hivyo kutolewa na kukosa mechi ya fainali. Hii ikitokea baada ya tegemeo lao Neymar kuumia. Hatujui kama ile umizwa ya Neymar ilikuwa ni ya makusudi ama lah! Lakini Brazil walikwishatolewa kwa matukio hayo mawili kambini mwao. Scolari alihangaika kuziba mapengo hayo mawili na wapinzani wao Ujerumani wakapanga mchezo wakijua msumbufu Neymar hayupo.

Nakumbuka Romario mchezaji wa Brazili akiichezea Barcelona miezi michache kabla ya kombe la dunia kombe la Mabingwa. Hakucheza kabisa "akiogopa kuumizwa na wajanja" timu yake ikilalal goli 5-0 na timu nadhani ya AC Milan. Lakini baadaye tuliona wote makali yake Marekani mwaka 1994 ambapo walilibeba kombe.

Wapenzi wa Brazil waombe Neymar apone kwani bado ni tegemeo kubwa sana ingawa inaonekana Brazil walpata funzo mwaka 2014. Kwani ni dhahiri kuwa wanaweza kucheza bila Neymar na wakashinda. Ila kisaikoloia bado itawasumbua wakimkosa.

Ni kweli mpira hautabiriki.
 
kubeba kumbe la Dunia munafikiri ni masihara?

brazil ya sasa imekua ikicheza mpira wa kuvizia kama vile utafikiri team ya Mourinho. Wanakaa nyuma tu nakuvizia counter atack.
Alaves unaemzungumza unamfahamu lakini? ndie aliefungisha PSG mechi za real madrid Magoli 3 yalipita kwakwe likiwemo a la kuadhirishirshwa na dogo Asensio.
Na pia unafikiria Firmino ndio Striker wakushindia world cup?
midfield Paulinho, fernadinho, casemiro? mpaka na morroco watawazidi katikati achilia team kubwa.
 
Mkuu kwa sasa Huwezi taja midfielder wazuri duniani usiwataje fernandinho na casemiro. Wanajua na kazi zao zinaonekana kwenye vilabu vyao.
 
Mkuu kwa sasa Huwezi taja midfielder wazuri duniani usiwataje fernandinho na casemiro. Wanajua na kazi zao zinaonekana kwenye vilabu vyao.

kama wao ni wazuri Modric' je? Kroos ? Iniesta? Silva? . Tatizo kubwa la Brazil ni hizo midifield zinzoishia kukaa uwani na kupiga buti tu.
 
Sasa Wewe britanicca si ulisema Unaachana na Mpira na Unatoka JF?
Mbona bado unatumia JF?
Au ulidhani World Cup inachezwa Sebleni Kwenu na Refa utakuwa Wewe?
Sometimes acheni Ushabiki Makalio huo...
nashangaa akili za was afrika bhana wenzetu SAA nyingi angetimiza ahadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom