Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Kikosi kizuri ila mpira kitu kingine aisee. Timu inaweze ikawa nzuri ila makosa madogo kabisa yakaigharimu timu mazima. Au unaweza kuta timu nzuri ukashangaa wanapoteana.
Natamani muanzosha uzi aleft jF
 
HAYA NDO MAJINA YA KIKOSI CHOTE CHA BRAZIL

GOALKEEPERS
Alisson (Roma), Cassio (Corinthians), Ederson (Manchester City)

DEFENDERS
Dani Alves (PSG), Fagner (Corinthians), Filipe Luis (Athletico Madrid), Marcelo (Real Madrid), Marquinhos (PSG), Miranda (Inter Milan), Rodrigo Caio (Sao Paulo), Thiago Silva (PSG)

MIDFIELDERS
Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Giuliano (Zenit), Luan (Gremio), Paulinho (Barcelona), Philippe Coutinho (Barcelona), Renato Augusto (Beijing Guoan), Willian (Chelsea)

FORWARDS
Firmino (Liverpool), Gabriel Jesus (Manchester City), Neymar Jr (PSG),
Taison (Shakhtar Donetsk)

KUTOKA KATIKA LIST HIYO NIMEPANGA FIRST ELEVEN YA KUBEBA UBINGWA. JE, WEWE UNGEPENDAJE?

KIKOSI CHANGU HIKI KIKISHINDWA KUBEBA KOMBE LA DUNIA NAJITOA JAMII FORUMS KABISA
GOALKEEPERS
1.Ederson (Manchester City)
DEFENDERS
2.Dani Alves (PSG),
3.Marcelo (Real Madrid),
4. Filipe Luiz (Atletico Madrid)
5.Thiago Silva (PSG)
MIDFIELDERS
6.Casemiro (Real Madrid),
7.Fernandinho (Manchester City), 8.Philippe Coutinho (Barcelona),
FORWARDS
9Gabriel Jesus (Manchester City), 10.Neymar Jr (PSG),
11.Firmino (Liverpool)

SUBSTITUTION ZANGU

GOALKEEPERS

1.Cassio (Corinthians),

DEFENDERS
2.Fagner (Corinthians),
3.Marquinhos (PSG),
4.Miranda (Inter Milan),
5.Rodrigo Caio (Sao Paulo),

MIDFIELDERS
6.Giuliano (Zenit),
7.Luan (Gremio),
8.Paulinho (Barcelona),

FORWARDS
9. Renato augusto
10.Taison (Shakhtar Donetsk)
11. Willian (Chelsea)

Je, katika majina hayo juu we ungepangaje kikosi na ubebe kombe la dunia??

View attachment 670707

Ulifanya haraka sana kuwapamba hawa mabishoo,, ona sasa umeaibika bure mkuu :D:D:D
 
Kulingana na ahadi niliyokuwa nimetoa kwamba Brazil hasipobeba kombe la dunia najitoa jf kabisa,
Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Baada ya kukaa week mbili sijaingia watu wamenifuata inbox na kunieleza yafuatayo

1. Usitoke unaushawishi mkubwa hasa kwa jiwe, sasa ukitoka jiwe litaacha.kusoma comments za Jf,

Refer omukajunguti airport na ushauri niliotoa kujengwa uwanja wa Chattle wa ndege,


2. Kwamba sasa naona hata kuondoka kwanguJf, hata kiongozi wa wakuu wa mi region amepunguziwa ulinzi aisee,

3. Mbaya zaid msiba cypiria presentation zake zinepwaya sana,
4. Mara Esta Bulaya kammisi Slaa

Hivo nimetengua kauli ya kujiondoa JF,

Tuko pamoja hatoki mtu hapa

Cc YALE
 
Huna impact yoyote wewe, unajishaua tu...huna tofauti na nyuki wa mashine!
Jitoe tu...
 
Ha haa! Nilikuwa nauangalia huo uzi wako wa Brazili kisha nasema Hiiiii!
By the way, as a human you cant get everything right every time. Out of ten, if you can get three of the things right, you are already a 'huge prophet'!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom