Kwa kigezo cha uhitaji wa mchezaji mzoefu wa kimataifa, kwa Larry Bwalya Simba SC tumekosea

Unadhani kwanini wacongo na waarabu walituchezeshea viganja?

ni kwasababu waana wachezaji wengi wenye uzoefu wa mashindano makubwa.

Tulihitaji kusajili mchezaji wa kuingia kikosini moja kwa moja. huyo Larry atamuweka nani bench na uzoefu wake duni wa michuano ya kimataifa?
Najiridhisha kweli ww ni MINYANI FC. Umeng'ang'ania uzoefu. Kwan hao wazoefu walitoka mbinguni?
 
Shiboub haendani na mfumo wa mwalimu Sven ndo maana hata benchi alikuwa hakai.....
Sio tumeshindwa kumtumia yeye ndo kashindwa kubadilika.
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
 
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
Una leseni ya ukocha daraja lipi?Au ndio yale yale ya kuongelea rocket science wakati hata shule hujaenda???
 
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
Mabadiliko kwa shiboub hayakuwa kama unavyoyaeleza hapa.....
Shiboub alikuwa anachezeshwa namba 8.....
Asa sijui tatizo liko wapi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukifukua makaburi hawa hawa Utopolo walikuwa wanalaumu tulipomsajili Tripple C. Ohh hana uzoefu ohh aliachwa na Al Itihad ya Misri. Ohh hana kiwango. Leo hata wao wenyewe wamekubali somo. Ngebe kwisha, finito, finished, slut.
 
Unapoteza muda kubishana na Utopolo. Wamemuajiri Senzo huku akiwa hana kazi ya kufanya. Mtendaji mkuu wa katiba ya Utopolo ni katibu mkuu. Watu wa karibu na Senzo wanashangaa jamaa analipwa tena kwa mkataba huku hana cha kufanya. Eti ilikuwa kuwapoza wanachama wao kwenye usajili wa Morisson.
 
Ww jamaaa hahahaha nimecheka mpaka nimeulizwa kwenye daladala
We Jamaa huwa unafurahisha sana.
Shiboub si alikuwepo hapa na kashindwa kupata nafasi na kocha hamuhitaji?
Unamzungumzia Lary ambaye Sven alikuwa akimhusudu timu ya Taifa na ndiye aliyemwita kwa Mara ya kwaza....

#mkizubaa tutawapora wachezaji wote tumgawie Biashara United.
 
Kuna comment nyingine zinakujenga Mie uwaga siangalii mada kaanzisha nan Mie uwaga naangalia comment
demigod Nikusahihishe kidogo huyo mchezaji sio kiungo mkabaji Bali Ni kiungo mbunifu.Tukija kwenye issue ya shiboub na Larry bwalya nakuunga mkono shiboub Ni better than Larry shiboub anakuoffer vitu vingi ikiwemo ana physical ability nzuri, pia anauwezo wa kukaba than Larry, anafunga magoals than Larry, technical ability yake Ni nzuri Sana than Larry.Kingine nilichoona Ni kwamba Simba walikuwa hawajui kumtumia vizuri shiboub, Shiboub alikuwa anatumika kwenye midfielder ya chini wakati naturally yeye Ni advance midfielder.
 
Kuna comment nyingine zinakujenga Mie uwaga siangalii mada kaanzisha nan Mie uwaga naangalia comment
Ndio tatizo la humu jamiiforum wengi tunaangalia hoja katoa Nani bila kuangalia hoja yake Ina mantiki au haina mantiki hata kwenye jukwaa la siasa lipo hivyo hivyo kwa style hiyo sijui kama tutafika kweli?
 
Back
Top Bottom