assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
soma gazeti la mwannchitoa takwimu sio blah blah!nani aliyepoteza viti?
take it as a challengekwan cdm ndo walikuwa wameshika hizo ngome?mbna unabadilisha topic wakati ccm ndo wanatakiwa wakae mkao wa kula kuondoka madarakani 2015
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
soma gazeti la mwannchi
Duh game la kirafiki la stars na Waganda hapa litakuwa baab kubwa,nitakutana tena na Okwi shamba la bibi