Kwa kichapo cha udiwani chadema ilichopata ni dalili mbaya

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
 
Kata walizoshinda CDM awali zilikua zinaongozwa na nani? Ni ipi tofauti ya kura kati ya wagombea ukilinganisha na chaguzi zilizopita?
 
Kwan cdm ndo walikuwa wameshika hizo ngome?mbna unabadilisha topic wakati ccm ndo wanatakiwa wakae mkao wa kula kuondoka madarakani 2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duh game la kirafiki la stars na Waganda hapa litakuwa baab kubwa,nitakutana tena na Okwi shamba la bibi
 
kwan cdm ndo walikuwa wameshika hizo ngome?mbna unabadilisha topic wakati ccm ndo wanatakiwa wakae mkao wa kula kuondoka madarakani 2015

sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
take it as a challenge
 
najua wewe ni mwana ccm wa kawaida, subiria viongozi wako wakijitathimini utapata jibu, wakilinganisha ushindi wa kipindi cha nyuma na sasa, hali si nzuri. ila ni vyema ukaja na data za chaguzi za nyuma na sasa.
 
...hizi elimu za kuunga-unga zina shida sana. Eti hawa ndo wale wale maklasimeti wa yule waziri wa ilimu aliosema tanzania imetokana na muungano wa rhodesia na pemba ?? lol
 
Hivi ile album yenye nyimbo zifuatazo bado ipo mitaani? 1. Mkuki kwa nguruwe. 2. Liwalo na liwe.3. Serukamba oyee. 4. Siongei na mbwa ... 5. Mimba zisizotarajiwa. 6. Kibanda ni nani? 7. Siwatoi tena nje wabunge wakorofi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ebu leta jumla ya kura zote mkuu sio ya viti tuu tuone hiki kipigo cdm walichopata, make apa mbeya tumeyakwamgua magamba kwa kula tofauti zaidi ya mia sita
 
Wamepata viti vingapi vilivyokuwa vinashikiliwa na CDM??? Hapo ndo kipimo sahihi
 
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi

Yaani na hii nayo ni thread?unaleta vipi hoja kama hii bila kuwa na data zenye analysis ya kutosha..mfano:
1.idadi ya viti kwa vyama viwili ukionesha asilimia
2.kata ambazo kila chama imepoteza au kuzichukua ambapo awali zilikuwa chama kingine
3.idadi ya kula kwa kipindi kilichopita na sasa,utofauti wake ili kuona uelekeo wa baadae

jaribu kuja na data ila kwa kuwa jf ni shule basi kuwa tayari kujifunza
 
soma gazeti la mwannchi

U pu u z i wako unadhihirisha kwa kuamini kila kitu bila kushirikisha ubongo wako japo kidogo tu!
CCM ndiyo kapigwa mbaya uchaguzi huu na ndiyo maana Nape na Mwigulu hawajaita waandishi wa habari kupongeza;CHADEMA kachukua kata nyingi zilizokuwa za CCM na bado ww unatuambia CHADEMA ndiyo kashindwa?

Unahitaji akili za Sir Newton kuona hili?Propaganda za kitoto sana hizi!CHADEMA Taifa tangazeni siku wananchi tuingie mitaani kushangilia ushindi wetu!

Ifakara,Iyela,Dongobeshi,to mention few zilkuwa kata za CCM sasa zimeangukia CHADEMA!
 
Hahaha. Yaani chadema imewapokonya viti afu yenyewe ndo imepata kichapo? Huku kweyu masaini mume akitoka kuchubga baada ya miezi 5, akakuta mkewe ana mimba; ni ushindi wa ajabu. Manake amempiga bao aliemmimba mkewe. Wewe mto mada lazma ni mmasai.
 
Makamanda msipoteze muda kuwajibu wapuzi kama hawa sampuli ya akina Nape,Mwigulu,Juliana,Mwampamba na wengine wengi ambao hawaishi kotoa mada za kipuzi bila kufanya utafiti...am very sorry kwani wanaudhi kupita kiasi....wakisimama kwenye majukwaa ni upuzi..wakija huku jf ni upuzi...yani wao ni upuzi tu kila kukicha sijui huwa wanatumia nini!
 
Back
Top Bottom