Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Wakuu,

Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana.

Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
Tutegemee 'Maafa' makubwa sana na nasikia kimekuja 'Makusudically' kulipiza 'Kisasi' wale wote 'walioshabikia' Kifo cha Mwendazake ( ila siyo Generalist Mimi ) na mtakoma Wote. Tubuni upesi kinaweza Kuwasamehe.
 
Back
Top Bottom