Kwa kazi zenye matokeo Rais yupi kinara Afrika Mashariki?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Viongozi wengi Africa wapo madarakani lakini miaka nenda rudi hawana matokeo katika secta zinazo gusa wananchi kama
1. Miundo mbinu ( barabara, viwanja vya ndege, madaraja, majengo ya huduma kama shule, vyuo, hosprali etc)

2. Huduma za jamii ( afya, elimu , maji etc)

3. Mifumo wezeshi ya uchumi ( umeme, etc)

4. Makusanyo ya kodi

5. Sera zenye kulinda mali za urrishi kama mbuga za wanyama, madini etc.

Ukiacha siasa na utawala bora , leo tunataka tuzungumzia viongozi wenye matokeo chanya yanayo onekana.


Kwa viongozi wa africa mashariki, Yupi unadhani kwa muda mfupi amewez kuleta matokeo ambayo yana sura ya kubadili maisha ya jamii husika na uchumi wa nchi husika.

Katika kujadili weka na ushahidi.

1. Kagame
2.Museveni
3.Kenyatta
4.Magufuli

Tanzania kuingia kwenye uchumi wa kati sio kigezo kwa sasa .
 
Kwa Magufuli

Ajenga na kupanua bandari karibi zote.

1. Bandari ya DSM, Mtwara, Tanga
2. Bandari karibia zote za ziwa victoria pamoja na kujenga meli 1 kubwa mpya na kukarabati VM victoria na MV butiama
3. Bandari zote za ziwa Tanganyika pamoja na kujenga meli moja mpya na kuikarabati MV Liemba.
4. Bandari za ziwa Nyasa na amejenda meli 3 kubwa za mizigo na abiria .. MV Njombe, MV Ruvuma, MV mbeya.

Reli...

Amediriki kujenga reli yenye viwango bila mkono wa mchina. EURO STANDARD.

Ujenzi wa bwawa la kufufua umeme kubwa kuliko yote africa mashariki. 2115 MW

Ujenzi wa hopsitali za kanda, rufaa, wilaya na vituo vya afya pmoja na zahanati.

Ujenzi na ukamilishaji wa barabara KM zaidi 3000.

Ujenzi wa miji karibia yote Tanzania kwa kujenga barabara mijini, sehemu za huduma kama stand, masoko na kuwezesha miji yote Tanzania kuwa na mwonekano wa miji mikubwa.

Ujenzi wa madaraja korofi, etc Wami.

Usimamizi wa ujenzi wa miundo mbinu ya jiji la dsm.

Ukarabati wa viwanja vya ndege 11.

Usimamizi wa kukamilisha ujenzi wa terminal 3 JNIA.

Narudi tena..
JPM ndiye Rais pekee tu Africa.
 
Back
Top Bottom