Kwa kawaida wanaume ndio hutongoza wanawake, je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke hadi ukakubali tueleze

NILITONGOZWA PRIMARY SCHOOL NIKAPEWA NA SHILINGI 50, NIKAHAMA NA DESK NIKAKIMBILIA DESK LA NYUMA KABISA LA VIBAKA NA VILAZA! YULE DEMU ALIYENITONGOZA NIKAKUTANA NAE TENA WAKATI NIPO ADVANCE LEVEL......ANA MSHUNDU HADI NAOTA MPAKA LEO NA JINA NA MKUMBUKA! SHARIFAAAAAAAA! KAMA UPO HUMU MIMI NIPO BADO NA KU MISS!
 
Wanaume ndio hutongoza ,lakini je inaweza kuwa kinyume chake? je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,ulimkubalia maombi yake?,unamchukuliaje mwanamke akikutongoza ?,au ulimchukuliaje mwanamke aliyekutongoza?
J e ni furaha kutongozwa na mwanamke au sio furaha?
Ulimpenda?
jitokezeni wanaume kujibu maswali yangu.
Mi kwa upande wangu sijawahi kutongozwa na mwanamke mpaka nakua mkubwa hivi yan√%

hivyo huwa nahisi wanawake hawatamani, na hisia zao maybe zitakua zina endeshwa na mwanaume yeyote anaye jitokeza kugombea ukoloni kwenye colony husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi natongozwa sana haiishi wiki ,ila sababu kubwa sio vya uhandsome noo ,kidogo nikijana mwenye maisha ya wastan ,bata Monday to Sunday na kamkoko ka ujiko,so so kama wananipenda no wanaamini wakiwa karibu na mm wataimprove economic as well as social life lao arusha vyuma noma ,maana nimeanalyse wengi maslay queen,aliwahi tokea mmoja meneja bank ila alikuwa kanizidi umri kiasi na smart single mom nkaona ntampotezea muda tumebaki friends with benefits ,lakini huwa nareject ,ila ajabu na mm naowapenda wananisumbua kinyama asee
 
Nimefunga miaka 30 lakin nimewah kutonoza mara 2 tu.Wa kwanza ilikua 2010 na ndio akawa mke wangu na nakumbuka nilimtongoza kibabe kwel mpaka leo hii tuna watoto wa 3 huwa ananiambia kuwa nimtongoze upya...kutongoza kaz jamaniii
 
Wanaume ndio hutongoza ,lakini je inaweza kuwa kinyume chake? je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,ulimkubalia maombi yake?,unamchukuliaje mwanamke akikutongoza ?,au ulimchukuliaje mwanamke aliyekutongoza?
J e ni furaha kutongozwa na mwanamke au sio furaha?
Ulimpenda?
jitokezeni wanaume kujibu maswali yangu.
Nilitongozwa na demu fulani enzi za o-level
Aisee hawa viumbe wana maneno ya kutukamata hatari. Sikua hata na mawazo nae but nilikubali baada ya siku kama 2 though najutia uamuzi huo mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILITONGOZWA PRIMARY SCHOOL NIKAPEWA NA SHILINGI 50, NIKAHAMA NA DESK NIKAKIMBILIA DESK LA NYUMA KABISA LA VIBAKA NA VILAZA! YULE DEMU ALIYENITONGOZA NIKAKUTANA NAE TENA WAKATI NIPO ADVANCE LEVEL......ANA MSHUNDU HADI NAOTA MPAKA LEO NA JINA NA MKUMBUKA! SHARIFAAAAAAAA! KAMA UPO HUMU MIMI NIPO BADO NA KU MISS!
Utakula jeuri yako kenge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilitongozwa o-level na mdada mzuri sana. Alinipa sh 2000 na mapochopo mengine mara nyingi tu. Nikampiga chega hadi tukabaki marafiki. Baada ya kumaliza shule, nikasikia ameondoka kwa ngoma.
 
kuna ndugu yangu wakati tunasoma xul flani pale bagamoyo tukiwa advance yule ndugu yangu alitongozwa na denti mmoja wa Olevel yule manzi alikuwa anajua kuforce kingi alikuwa anamfuata mshikaji prepo madarasa ya advance then anamwambia nimekuja kufata majibu yanguuu kasheshe demu alikuwa kama jike dume ... yule dogo alisumbuiliwaaaaa na yule manzi ila jamaa akaja kumchomolea manzi wakawa paka na panyaaa
 
Back
Top Bottom