Kwa kawaida wanaume ndio hutongoza wanawake, je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke hadi ukakubali tueleze

Ni kawaida siku hizi. Unakuta mdada anampenda kijana alafu huyo kijana hamfahamu yaani hampi attention yeyote anaamua aseme tu maana asipo sema haji kugundulika ata kama ana exist... Na wengine ni uhuni tu..... kama kwa wanaume tu sababu ni nyingi

Love you too
 
Halafu wanawake hawajajua tu, Sie wanaume ni laini sana na tukitongozwa hatujui kukataa binafsi nishatongozwa mara mbili na wanawake tofauti hata sikujivunga ila kudumu mda mrefu inakuwa ngumu sjui kwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom