Kwa kawaida wanaume ndio hutongoza wanawake, je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke hadi ukakubali tueleze

Ni kawaida siku hizi. Unakuta mdada anampenda kijana alafu huyo kijana hamfahamu yaani hampi attention yeyote anaamua aseme tu maana asipo sema haji kugundulika ata kama ana exist... Na wengine ni uhuni tu..... kama kwa wanaume tu sababu ni nyingi
je wewe binafsi uliwahi kumtamkia?
 
Inatokea,lakini mara nyingi wao kuna kitu wanakuwa wamekilenga,wakiamini nikimpata fulani,naweza kufanikisha kitu fulani.
 
Mwanaume hatongozwi acha kutuharibia siku.
Wanaume ndio hutongoza ,lakini je inaweza kuwa kinyume chake? je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,ulimkubalia maombi yake?,unamchukuliaje mwanamke akikutongoza ?,au ulimchukuliaje mwanamke aliyekutongoza?
J e ni furaha kutongozwa na mwanamke au sio furaha?
Ulimpenda?
jitokezeni wanaume kujibu maswali yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wa kwanza kabisa alinitongoza mwenyewe! Asilimia 45 wamenitongoza zilizobaki hua navuta tu hata situmii nguvu!!! Kua hendisamu kuna raha yake

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
katika hilo tupo pamoja demu akikuelewa mwenyewe hutumii nguvu ni kama kumsukuma mlevi
 
Back
Top Bottom