Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

Bila unafiki hatuishi!
Nakumbuka Askofu Pengo aliwahi kuuliza " Hivi ni kweli tunachukuia ufisadi ama tunachukia ufisadi wa wengine tu"?
Akimaanisha wewe ukiwa kwenye nafasi ya kunufaika na ufisadi bado utauchukia ufisadi?
Sio siri SIMBA inanufaika na Ufisadi/Dhulma za KARIA na kwa hiyo kwao KARIA hana hatia yeyote na apewe miaka yote ikiwezekana!

Je akitokea mtu opposite na KARIA mtaendelea kuunga mkono?
TARIMBA AMESEMA UKWELI MTUPU, ILA UKWELI MCHUNGU NI KWAMBA HAKUNA FORMULA YEYOTE INAYOWEZA KUMUONDOA KARIA!
Tuendelee kunywa mtori!
 
Nmemsikiliza Tarimba kwa makini. Jamaa ameongea utumbo hana mantiki. Kama alikuwa lengo la kugombea urais kwanini hakuliandaa hilo mapema? anajua sheria, kanuni za uchaguzi kwanini hakuandaa timu yake? Yan ukurupuke huko ulipokuwa uje uchukue fomu halafu uingie ktk mchakato simply wewe ni Tarimba tu. Kwani.hizo kanuni za uchaguzi kuhusu wadhamini zimeanza leo? malinzi hakupitia huo mchakato?
jamaa nilikuwa namuona mtu wa busara ila nmegundua ni mpuuzi mmoja.
Nahisi hakuwa na lengo la kugombea amejitokeza kupata sympathy tu ya raia. Kama Oscar kapata wadhanimi yeye alitaka apakatwe ili apitishwe bila kupitia mchakato mzima.
Idiot
 
Bila unafiki hatuishi!
Nakumbuka Askofu Pengo aliwahi kuuliza " Hivi ni kweli tunachukuia ufisadi ama tunachukia ufisadi wa wengine tu"?
Akimaanisha wee ukiwa kwenye nafasi ya kunufaika ufisadi bado utauchukia ufisadi?
Sio siri SIMBA inanufaika na Ufisadi/Dhulma za KARIA na kwa hiyo kwao KARIA hana hatia yeyote na apewe miaka yote ikiwezekana!

Je akitokea mtu ooposite na KARIA mtaendelea kuunga mkono?
TARIMBA AMESEMA UKWELI MTUPU, ILA UKWELI MCHUNGU NI KWAMBA HAKUNA FORMULA YEYOTE INAYOWEZA KUMUONDOA KARIA!
Tuendelee kunywa mtori!
Hebu mkuu tutajie dhulma za karia hapa,
Usifuate mkumbo tu na kumezeshwa sumu..
Karia amekua mbuzi weny wa kafara t na kichaka cha kujifichia,
Ila mnajua kua tatzo lenu ni timu lenu bovu na kukosa mipango.
 
Ni kweli kayatamka hayo maneno? Iwapo ni kweli kayatamka hayo maneno basi anapaswa aiombe radhi klabu ya Simba ili kuonyesha uungwana wake. Na uongozi wa Simba nitawashangaa sana kama watalikalia kimya suala hili. Na kwa maneno hayo tu hapaswi hata kugombea kwa sababu tayari ameshaonyesha chuki wazi wazi kwa Simba kitu ambacho sio sahihi. Maana yake yeye anataka kwenda kuwa raisi wa TFF ili aikomoe Simba basi hatufai.

Kwa sasa watu wanapambana ili Karia aondoke kwa sababu anaonekana ana upande halafu yeye tena anaanza kuonyesha upande wake hata kabla hajapitishwa. Ili mpira uendelee nchi hii na kuondoa manung'uniko TFF inatakiwa impate kiongozi makini kama alivyokuwa Leonard Tenga ambaye aliongoza mpira wa nchi hii bila kupendelea klabu yake anayoipend Yanga. Kwa kweli Tarimba yeye abaki huko huko bungeni huku kwenye mpira tunataka kiongozi safi asiyependelea upande anaoshabikia.
Mkuu mambo ya simba na yanga ni upuuzi tu, manara alishawaita waandishi wa habari na bonge la tv kuonyesha simba inaonewa, mfano mwingine ni juzi tu mwchi haikuchezwa na hakuna timu iliyopewa point na hakuna iliyoadhibiwa
 
Aisee kama ni kweli kayatamka hayo ,maneno basi hata urais wa TFF hatufai maana keshaonyesha wazi kuwa anaenda ikulu ya TFF specifically kupambana na Simba Sc!
Pia naomba kuwashauri Simba kuyapuuza matamko yanayotolewa watu wa Club ya Yanga kuhusu mchezo wa july 3. Kuna kipindi Msemaji wao alidai kuwa Yanga hawautambui huo mchezo, hivi majuzi tea watu waliojiita wazee wa Yanga walitoa tamko lingine wakidai hawataingiza timu uwanjani hiyo july 3 mpaka waelezwe sabab za kuahirishwa mechi hiyo katika awamu iliyopita! nasisitiza tena Msiwasikilize tena tufanye maandalizi kabambe wakija hovyo tuapiga 5 - 0 kimasihara! Yanga hawana sabab hata moja ya kutyocheza mechi ya july 3, na wanajua watapokea kichapo so wanajaribu kuwahadaa Simba kisaikolojia ili wapoteze mwelekeo wa maandalizi huku wao wakijiandaa vilivyo! Mbiu hizo ni za kimani!
 
Mkuu mambo ya simba na yanga ni upuuzi tu, manara alishawaita waandishi wa habari na bonge la tv kuonyesha simba inaonewa, mfano mwingine ni juzi tu mwchi haikuchezwa na hakuna timu iliyopewa point na hakuna iliyoadhibiwa
Wewe nawe unakurupuka. Taarifa ya kusogezwa mbele ilitokwa kwa nani? Kwa maelekezo ya nani? Sasa Simba na Yanga inahusika vipi na kupewa points hapo? Shabikia karata soka achana nalo
 
Wewe nawe unakurupuka. Taarifa ya kusogezwa mbele ilitokwa kwa nani? Kwa maelekezo ya nani? Sasa Simba na Yanga inahusika vipi na kupewa points hapo? Shabikia karata soka achana nalo
Duuu! Wewe ndio kichaa inaonekana ni shabiki wa rede, waliosegeza mechi walisema muda wa mechi na kuna timu haikutokea huo muda je unajua adhabu kwa timu iliyogomea mchezo?
 
Kwa namna tulivyo kwa sasa huo udhamini wake si chochote mbele ya Simba SC..Utupiliwe mbali mara moja.
 
Simba waangalie vipengele vya kuvunja mkataba Sportspesa
mo alishatoaga hints umesahau?hawa jamaa magumashi sana hata jackpots zao wanapanga watu...bora hata everton walivyowakimbia ngoja tuachane nao wabaki na utopolo kwanza hata pages za simba social media huwa zinawapa mileage kubwa sana utopolo muda mwingi hata redioni wanasifia GSM utadhani ndiye main sponsor
 
Back
Top Bottom