Kwa kauli ya Rais Samia Tanzania ya viwanda imeota mbawa

Pole kwa ban
Nyie wajinga mnatupigia kelele za magufuli ndio kipindi kile mlikuwa mnawabambikia kesi watu.

Inawezekana ndio mlikuwa mbwa wake wa kuteka, kuuwa watu kutesa na kuwaweka kwenye viroba.

Tutawatafuta tu. Yale mateso lazima mtalipa tu
 
Mbowe amebambikiwa na nani ?

Sabaya amebambikiwa na nani?
 
Back
Top Bottom