R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Wakati wa siku ya kumuapisha mkuu wa Majeshi' Raisi aliongelea suala la madawa ya kulevya . na kusifia IGP kuwa anafahamu watu wengi walimpigia simu kumtahadharisha kuhusu kuitwa wasanii na baadhi ya watu na askari kuhojiwa kuhusu madawa.
Raisi anasema msimamo ulimsaidia IGP lasivyo asingekuwa IGP kama angefuata maelekezo ya watu waliokuwa wakimpigia simu''
je kwa maana hiyo mawasiliano ya IGP yanasikika state house??
Raisi anasema msimamo ulimsaidia IGP lasivyo asingekuwa IGP kama angefuata maelekezo ya watu waliokuwa wakimpigia simu''
je kwa maana hiyo mawasiliano ya IGP yanasikika state house??