Kwa kauli ya Rais 'Hata mimi mshahara haunitoshi', watumishi tuandike tena maumivu mwaka huu

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Watumishi wa umma tupeane pole

Yale matumaini kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo mwaka huu utakuwa ni wa neema kwetu matumaini tuyafute.

Jana mkulu siku ya sheria katamka bayana kwamba anatambua mishahara haitoshi hata yeye wa kwake hautoshi, kuna vipaumbele ambavo ni miradi ya maendeleo hvo tuzidi kuwa wapole.

Mkombozi ni topapu over.
Kazi na bata 2020
Membe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wafanyakazi wa halmashauri za wilaya na miji wanatuka sana kuchakachua, wakome kabisa na bado hakuna nyongeza mpaka mtanyooka
 
Mkuu Wa nchi nafikili alikua anatania mshahara mwaka huu alizima upande alishatoa ahadi kwamba kabla ya kumaliza awamu yake ya kwanza ataongeza mshahar mshahara tena wakutosha na alirudia tena maymosi iliyofanyika mbeya mwaka jana
Hayo maneno ya kazi na bata hata kwenye kanga yapo

Tz kinachoumiza sana nikukuta watu wanaopiga kazi mfano idara ya afya,ya elim nk wanalipwa kidogo wakati wale wanaokaa kwenye kiyoyozi kwa kusubili kutoa maelekezo na kupokea taharifa wanalipwa kingi wakati mwingine unakuta hata kiwango cha elimu wako sawa na wale wa chini katika idara husika au ata elimu yake ipo chini na hapa ndo kunaukiritimba na ubaguzi katika utumishi wa uma

Nchi moja ila wakati kuna mtumishi analipwa laki tano mwingine mil mpaka 6 katika ofisi mbalimbali za utumish wa umma bado malupulupu na hapa ndo nafikili kama mkuu itakua bado haijampendeza kuongezea mishahara basi na huko juu afyeke mishahara huko juu kuanzia kwenye mawizara na tahasisi mbalili tuweke usawa kimo kisizidi 2.5m na uwe ndo ukomo basi ili watumish wote wafunge mikanda
 
si alijipunguzia mshahara sasa analia tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watumishi wa umma tupeane pole

Yale matumaini kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo mwaka huu utakuwa ni wa neema kwetu matumaini tuyafute.

Jana mkulu siku ya sheria katamka bayana kwamba anatambua mishahara haitoshi hata yeye wa kwake hautoshi, kuna vipaumbele ambavo ni miradi ya maendeleo hvo tuzidi kuwa wapole.

Mkombozi ni topapu over.
Kazi na bata 2020
Membe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikupe formula moja ndogo ya kujua kama kuna ongezeko la mshahara au hakuna.
*WAZIRI wa Fedha anapotangaza Makisio ya bajeti ya mwaka wa fedha unaofuata angalia tofauti ya kiwango cha bajeti husika na iliyopita. Tofauti kati ya bajeti ya 2019/20 na 2020/21 haizidi 900b, sasa hiyo nyongeza ya mshahara inazaliwa na nini hapo?

aiseee
 
Back
Top Bottom