Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,214
TULIENI MNYIKA YUPO KWENYE MIKONO SALAMA
Mwambieni Babaenu aache kupiga simu Ovyo,Tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee......Any time atume sms au apige tena aone!!!!!!!!!
Mnyika siyo Dizaini ya hao unaowapigia simu na kuwahahidi Vyeo na Madaraka ya kuhongwa.....Tunakuweka loudspeaker tunakusikiliza tuh.....ukikata simu tunacheeeeeeeeeeeekaa.
Etiiii unamwambia Binadamu Mwenzako unamtaka kwa gharama yeyote.......ili nini?
(From Mayor Boniface FB page)
My take;
Sina sababu za kumdhania uongo Mayor anayeheshimika na raia wa Ubungo, lakini najiuliza huyo "babaenu" anayetajwa hapo ni nani? Na jee ndiye kinara wa biashara hii ya manunuzi?
Jee kama yeye ndiye nimdhaniaye ndiye, kumbe kakosa la kufanya mpaka afikie kuwa na matendo kama haya ambayo hayajapata kuandikwa kwa watangulizi wake?