Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,095
- 4,059
Huyu Dk. Bashiru ni aina ya watu ambao hawakustahili kupewa dhamana kubwa aliyonayo. Chama kinatakiwa kufocus zaidi kwenye mandeleo ya nchi kwa vitendo
Angekuwa sahihi sana kama angesema huku chama chake kinaleta maendeleo ya ukweli, kinatenda haki , n.k kiasi cha kukonga nyoyo za watanzania. Kauli hii hainishangazi kutoka kwake kwani yeye ni kiongozi asiyejua maana ya kuwa hapo.
Majukumu yake ni kuimarisha demokrasia pia maana ndio iliyomuajiri kupitia chama. Uwepo wa upinzanzani ndio uliomfanya ateuliwe na Rais Magufuli ili kuhakikisha chama kinakuwa imara wakati wote.
UIMARA WA NAMNA GANI?
Kwa anayofanya Huyu katibu kama kweli ingekuwa ni majukumu yake anatimiza basi kila mmoja hiyo nafasi inamfaa, Katibu hayupo kwa maslahi ya Nchi Bali ni yeye na kundi lake.
Anachoweza yeye ni kutoa kauli zinazothibitisha how foolish na ulimbukeni he is. Kuplan kuleta mpinzani Ccm, kumtesa mpinzani n.k.
Mbona sisikii akitenda au kunena lenye faida kwa Taifa? Uwezo wake umeishia hapo hapo aliposimama(ccm). Kila mtu kwa nafasi yake afanye jambo kwa Taifa hili na sio kuropoka utafikili sio msomi.
Nashindwa kumtofautisha na Musiba