Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe
Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe Zitto, nchi yangu Tanzania. Ni másikitiko makubwa pale wasomi hawa wanaojitanabaisha kwamba wana maarifa 'kamili' yaani yasiyo 'nusu'
wamekuwa siku zote wakikosoa na kulalama pale maslahi ya nchi yanapoporwa na baadae wenye maarifa'nusu' wakiamua kufanya jambo, wenye maarifa'kamili' kama ilivyo kawaida yao, huja na malalamiko mengine.
By the way Mimi nashangazwa sana na sampuli hii ya wasomi! . Kama nia yao ni njema, nadhani wangeonesha ushirikiano kama Rais Magufuli alivyoonesha njia. . Kulalama tu hakusaidii unless hiyo ndo definition ya upinzani.