Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

Mchengerwa anafurahisha genge.

Kilq Waziri anakuja na matamko. Hakuna mikakati wala utekelezaji.

Wasanii tuna maoni mengi mazuri wameyafutika kwenye shajara, lakini utasikia kila siku LETENI KERO ZENU.

Wasitufanyie hadaa
Hii nchi sound nyingii, matamko mengi, lakini Kuna siku atapewa wizara mtu Mwenye maono mazuri ya mbalii
 
Back
Top Bottom