Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

Mama kasema sana,anataka HAKI kitu ambacho watu wa awamu ya tano hawawezi
Haki gani anayoisimamia; Unaondosha masheikh wa uamsho wa zanzibar lakini wa Tanzania bara wanaachwa ndani. Unafungulia mashitaka watu uliofanya nao kazi ijapokuwa sio moja kwa moja lakini waliokuwa ofisi yako wakiwa wamefanya madudu huwachukulii hatua halafu unajinasibu wewe msafi.....shutu

Sijawahi kuona mtu mwenye uhai anapambana na mtu ambaye hana pumzi tena ya kuongea, kupumua au kujittetea

Laana ni somo litakalowafundisha watawala wa Tanzania kwa sasa
 
Hakuna anaepambana na MFU,nyie vibaraka wa awamu ya 5 ndio mnaojipambanisha

Hao mashehk wa uamsho hawakuwekwa jela na SSH na kila jambo linakidiriwa na MWENYEZIMUNGU mtukufu,kama wale MLIOWAFUNGA miaka 8 iliopita wako huru sasa itashindikana vipi kwa hao wengine kama hawana HATIA?
 
Mama tumekupa ikulu na majeshi yote, wewe ndio kamanda mkuu aka amir jeshi mkuu wa majeshi yooote....wizara zote ziko chini yako, wewe ndio bosi mtoa amri.....MAMA TUMIA HIVYO VYOMBO KUCHUKUA MAAMUZI NCHI IENDE MBELE....chukua maamuzi makali dhidi ya wapumbavu wote kama kweli una nia ya dhati nchi iende mbele..
Upo sahihi mkuu Mama anatakiwa asiwatizame uson hao manyang'au awabadilikie mpk wasiamin macho yao.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anaepambana na MFU,nyie vibaraka wa awamu ya 5 ndio mnaojipambanisha

Hao mashehk wa uamsho hawakuwekwa jela na SSH na kila jambo linakidiriwa na MWENYEZIMUNGU mtukufu,kama wale MLIOWAFUNGA miaka 8 iliopita wako huru sasa itashindikana vipi kwa hao wengine kama hawana HATIA?
Mbona amewabakiza wengine wasio na nasaba ya Zanzibar kama sio ubaguzi ni nini? Inajulikana aliyehusika kuwaweka ndani ni awamu ya Kikwete na Shein
 
Bwana wee, hizi lectures tumeshazisikia sana nilikua namjibu huyo niliyemnukuu aliyesema Mama alitakiwa asiwachukue waliokua kwenye awamu iliyopita.

Sasa kama yeye mwenyewe alikua sehem ya hiyo awamu iliyopita na mtoa hoja point yake ni kwamba wote waliokua awamu iliyopita, una muenguaje Mama?

Hapo hoja ilitakiwa iwe Mama aweke wazi nini anataka na apate watu anaona watamsaidia kutimiza anachotaka.
The monk, asante mkuu kwa point yako mi nimekuelewa sana, ufafanuzi wako umeondoa shaka kwa watu wote makini na wanaohitaji kuelewa Ila kichwa maji hawatoelewa.
 
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".

Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.

Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama picha tu. Mambo yote yalikuwa yakiamuliwa na kuendeshwa na JPM pekee. ....one man show.
Hata JPM alikuwa akisema hivyo
Hata rais awamu ya saba atasema hivi hivi
Ndio wanasiasa hao
 
Yaani sympathizers wa mafisadi ni wajinga sana. Yaani wana akili finyu sana. Yaani badala ya kujua kuwa Dkt Magufuli aliogopwa na watandaji kiasi kwamba waliogopa kufanya ufisadi na baada ya kufa walishangilia wakijua mkali kaondoka ili waibe wanadhani mama hana akili za kulijua hilo.
Fisadi anaweza kumuogopa fisadi mwenzake? Au makelele ya jukwaani yalikufanya uamini Magufuli ni Mtakatifu? Mtu aliyehonga nyumba ya serikali Kwa hawala anawezaje kuwa Mtakatifu?
 
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".

Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.

Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama picha tu. Mambo yote yalikuwa yakiamuliwa na kuendeshwa na JPM pekee. ....one man show.
Of course alikuwa anaweka pembeni lakini pia aina ya Kazi za Makamu wa Rais hazihusiani moja kwa moja na utendaji..

Utendaji ni Rais,PM na mawaziri wa kisekta,Makamu ni mpaka atumwe ..

Bora hata sasa Makamu wa Sasa anashirikishwa na Rais mambo mengi .
 
Kama kuna kitu alikosea raisi SSH ni kurith viongozi wa magufuli.
Yaani hujuma lazima itokee
Ni kweli aisee,kwa.sasa.anatakiwa awaondoe wote.Hata ile kauli ya VP kwamba kuna wanaccm wanamkwamisha miradi ni sahihi..

Sema hivi pia kutangaza kwake kuwania Urais kumeongeza vita na njia nzuri ya kuwakabili hao awatoe wote Serikalini.

Kimsingi alirithi akiwasoma huwezi engua wote ghafla hata Mwendazake alirithi viongozi wa JK ndani ya miaka 2 akawa kawatoa wote.

Kiukweli uozo mwingi ulifanyika na kama hana kifua atayaanika wazi kama alivyofanya Mwendazake kwa kuwasema awamu ya 4.
 
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".

Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.

Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama picha tu. Mambo yote yalikuwa yakiamuliwa na kuendeshwa na JPM pekee. ....one man show.
Yeye pia alikuwa sehem ya juu sana ktk awamu ya 5 km kuna upigaji basi hana nsmna ya kukwepa
 
Yaani sympathizers wa mafisadi ni wajinga sana. Yaani wana akili finyu sana. Yaani badala ya kujua kuwa Dkt Magufuli aliogopwa na watandaji kiasi kwamba waliogopa kufanya ufisadi na baada ya kufa walishangilia wakijua mkali kaondoka ili waibe wanadhani mama hana akili za kulijua hilo.
Unaweza ukakuta wewe ndio kajinga zaidi, awamu ipi ilijenga meli kwa mikataba inayozungumziwa? Soma report ya CAG
 
Wasukuma wanatakiwa wajifunze kukaa kimya,na wasijione kua wajuaji au wasiwaone watu hawajui ya awamu ya 5

Ni ushamba kutaka kuendelea kuwaaminisha watu kua wao na awamu yao ya 5 ndio bora na wasafi kuliko awamu zilizopita
Umeolewa na msukumma?
Hao walioko bandarini ni wasukuma?
 
Kama kuna kitu alikosea raisi SSH ni kurith viongozi wa magufuli.
Yaani hujuma lazima itokee

We ndo pumba sana. Yeye SSH ni zao la JPM. System ya wIzi ipo tu kwa watz wanapenda kuishi ghafla. Hivi unazani wezi wanaotoka mbinguni. Ni wewe na mimi. Watu wengi wanaishi juu ya vipato vyao tz. Hawa wazungu kujenga nyumba wana madeni yanaYowazundikiza Mpaka uzeeni mwao. TZ. Mhasibu two years nyumba. Kazi yenu kulaumu maraisi.
 
Yuko busy kuongoza Malaika
Haa Yule Baba Hotuba Zake Tuzikosa Sana Maana Alikuwa Wa Aina Yake Nakumbuka Butimba Alipoongea Na Wafungwa Akamuuliza
Yule Mlemavu Wewe Umefungwa Kwa Kosa Gani?

Yule Mlemavu Akajibu Eti Mheshimiwa Nimebaka
Mzilankende Akamwambia Na Wewe Miguu Mibovu Lakini Huo Mguu Wa Tatu Unafanya Kazi. Haa
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom