Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

Wateuaji ni kamati kuu!
Kamati kuu ni magufuli.
1.Makamu mwenyekiti bara Philipp mangula kateuliwa na JPM
2.Bushiru-kachaguliwa na JPM
3.Polepole-kachaguliwa na JPm
4.hawassi-kachaguliwa na JPM
5.Mpogolo-kachaguliwa na JPM
6.captain ngemela-kachaguliwa na JPM
7.Pereira silima-kachaguliwa na JPm

hao wote walikuwa sio lolote wala chochote ndani ya CCM,wapo hapo kwa kuwa magufuli ametaka sio chama,Magufuli ndio serikali na ndio chama na ndio kamati kuu.
 
Duh.........wewe utakuwa team Lindi Kuchele!
 
Sasa kura ni za nini kama hilo genge linalojiita kamati kuu ndio linateua? Lengo la hiyo kamati kuu kuteua ni ili kujaza waimba mapambio ya kumtukuza mungu wa Tanzania.
Je, upande unaotetea hali ikoje? Toa boriti jichoni mwako kwanza.

KuNa uhakika mwaka huu ndio maziko ya chama. Ili hili litimie, Serikali ikubali kuundwa kwa kile kinachodaiwa - Tume Huru ya Uchaguzi, kuondoa sababu ya kushindwa vibaya.
 
Off point ni kiashiria cha kukaukiwa HOJA.
 
Je, upande unaotetea hali ikoje? Toa boriti jichoni mwako kwanza.

KuNa uhakika mwaka huu ndio maziko ya chama. Ili hili litimie, Serikali ikubali kuundwa kwa kile kinachodaiwa - Tume Huru ya Uchaguzi, kuondoa sababu ya kushindwa vibaya.

Naomba Mungu hilo unalolisema la tume huru litokee na kweli tume huru iwepo, hapo ndio utaamini kuwa huwa unaishi ndani ya propaganda. Usione wanaccm waandamizi wanakataa tume wanajua fika uwezo wa kushinda bila dhuluma haupo.
 
Back
Top Bottom