Kwa Kauli hii tata na iliyojaa Mafumbo Mbunge Nape Nnauye amemaanisha nini na kamlenga nani Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,816
2,000
Katika Mahojiano yake na Azam Tv dhidi ya Tamthilia maarufu ya Sultan Mbunge Nape Nnauye alisikika akisema kuwa Damu ya Mtu Inadai na hata wakati anaisema hii Kauli Usoni mwake alionekana ni Mtu aliye serious kabisa kana kwamba kuna Jambo linamuumiza au limetokea na limemuumiza.

Kwa wale mliobobea katika Mafumbo kwa Kauli hii ya Nape kuwa Damu ya Mtu Inadai analenga nini?

Tujadili.
 
Daraja Makofia

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
632
1,000

Nimependa pale aliposema kuhusu maamuzi ya busara ya kiongozi.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
35,770
2,000
Katika Mahojiano yake na Azam Tv dhidi ya Tamthilia maarufu ya Sultan Mbunge Nape Nnauye alisikika akisema kuwa Damu ya Mtu Inadai na hata wakati anaisema hii Kauli Usoni mwake alionekana ni Mtu aliye serious kabisa kana kwamba kuna Jambo linamuumiza au limetokea na limemuumiza.

Kwa wale mliobobea katika Mafumbo kwa Kauli hii ya Nape kuwa Damu ya Mtu Inadai analenga nini?

Tujadili.
Halengi damu ya mtu kweli, bali damu ya mtu kwenye tamthilia.

Nape alikuwa ni shujaa enzi zile akisema ”kinyago uchonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha" lakini tangu alipotishwa na hiki kinyago alichokichonga mwenyewe, sasa Nape ni kwisha kabisa habari yake, hadi akiona kivuli tuu, anatishika.
P.
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,135
2,000
Katika Mahojiano yake na Azam Tv dhidi ya Tamthilia maarufu ya Sultan Mbunge Nape Nnauye alisikika akisema kuwa Damu ya Mtu Inadai na hata wakati anaisema hii Kauli Usoni mwake alionekana ni Mtu aliye serious kabisa kana kwamba kuna Jambo linamuumiza au limetokea na limemuumiza.

Kwa wale mliobobea katika Mafumbo kwa Kauli hii ya Nape kuwa Damu ya Mtu Inadai analenga nini?

Tujadili.
He is just a loser na hana busara.
 
chipaka.com

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,892
2,000
Halengi damu ya mtu kweli, bali damu ya mtu kwenye tamthilia.

Nape alikuwa ni shujaa enzi zile akisema ”kinyago uchonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha" lakini tangu alipotishwa na hiki kinyago alichokichonga mwenyewe, sasa Nape ni kwisha kabisa habari yake.
P.
Vugu_vugu
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,083
2,000
Huu ndio ukweli halisi!
Kifupi Nape ametepeta!
Halengi damu ya mtu kweli, bali damu ya mtu kwenye tamthilia.

Nape alikuwa ni shujaa enzi zile akisema ”kinyago uchonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha" lakini tangu alipotishwa na hiki kinyago alichokichonga mwenyewe, sasa Nape ni kwisha kabisa habari yake.
P.
 
mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,747

Nape ameendelea kutotishwa na kinyago alichokichonga mwenyewe. Angetishwa angefunga mdomo.
 
Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
3,994
2,000
Halengi damu ya mtu kweli, bali damu ya mtu kwenye tamthilia.
Nape alikuwa ni shujaa enzi zile akisema ”kinyago uchonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha" lakini tangu alipotishwa na hiki kinyago alichokichonga mwenyewe, sasa Nape ni kwisha kabisa habari yake.
P.

Alichonga kinyago gani?
 
Top Bottom