Jana makamu wa kwanza wa rais Zanzibar Seif kasema na nilimsikia kwamba Wazanzibar wanayo katiba Yao kwa hiyo machakato wa Katiba hauwahusu ila tu waseme maoni Yao kuhusu Muungano.
Wadau hapa Utamtofautishaje na UAMSHO?
Kwani Sefu au Mwingine yeyote kuwaunga mkono Uamsho ni haramu?
Cuf baada ya kuona wameingia ktk SUK kuna mambo ambayo walikuwa wanafanya sasa haiwezekani tena, wakaanzisha tena kikundi cha kidini kinachotekeleza malengo ya kisiasa lengo ni kuondoa ukristo znz na kuondoa ccm. Mfano mzuri kauli za Jusa waliposhindwa uchaguzi huko znz, pili kauli ya sharif Hamad kuwa yeye ni muumini wa muungano wa mkataba, kufumbiwa macho na cuf na kundi lote la mwamsho ni wanachama wa cuf.