Kwa Kauli hii Seif kweli si UAMSHO? au kuna nini nyuma ya kauli hii?

Mbona hata mimi ni mtanganyika lakini mfuasi wa Uamsho? Kuna nini cha ajabu hapo?
 
hata mimi huku bara ni mfuaasi wa UAMSHO, na wazanzibar wote ni UAMSHO nawatakieni mapambano msiwe na woga mpaka muipate nchi yenu
 
Mfuga ndevu vipi mbona lipumba hafugi uchafu mambo ya western hayo

kama ndevu ni uchafu kuna watu wanafuga mavuz ya chini hawo ni nani.waislamu wanatakiwa kwa kila cku 40 wanyowe nyinyi je wenzetu cku 300 na ngapi?na kama ndevu ni uchafu wanaisraeli itakuwa wanaongoza kwa uchafu huwo
 
Hivi nyie hamjui yule Maalim mfuga ndevu ni mtu wa kuogopwa zaidi ya ukoma ni kibaraka wa mataifa ya kiarabu na muhumini mzuri wa siasa za kigaidi na mdfuasi mkubwa wa ubaguzi wa kidini lakini pia ni mnafiki mchumia tumbo kwa ufupi ni hatari kwa mustakabali wa TANZANIA bara na visiwani.
 
Sasa ni rasmi CUF ndiyo waliochoma makanisa...
Makanisa ya CHADEMA!
Huu ni ujinga, kama mtu aliachishwa kazi hana haki ya kufanya kazi sehemu nyingine na yeye kazi yake ni ulinzi?
JF hamna great thinkers ni wanaharakati wa kanisa tu ndio walio wengi!
 
Angalia kichwa hiki cha habari, "Nahodha ashambuliwa na watu wenye hasira" lakini kwenye habari kamili ukakutia "Kijana mmoja nahodha wa mtumbwi jana alishambuliwa na wananchi wenye hasira kwa kumdhania ameiba kuku".

Hili ndilo lililotokea kwenye habari hii. Mada inasema "Mlinzi wa Maalim Seif ajihusisha na Uamsho", mpaka hapo sawa lakini sentensi ya mwanzo ya habari inasema
ALIYEKUWA Mlinziwa Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, anadaiwa kuwa miongoni mwa wafuasi wa kikundi cha Uamsho visiwani humu
Wapi na wapi mlinzi na aliyekuwa mlinzi. JF inazidi kuelekea kwenye mipasho.
 
Hawa watu wawili wanasiri nzito kuhusu yanayo endelea sasa. Nami kwa tarifa nilizo nazo kutoka kwa marafiki zangu wengi wao wakiwa Kenya eneo la Mombasa wananieleza kuhusu kundi hili la UAMSHO.
NANUKUU:
Rafiki yangu huyo alinieleza kwa wiki kama 5 hivi kumekua ha hawa watu wa uamsho karibia 350 wakikutana na wageni wao kutoka OMAN. Maeneo hayo ni JUMBA LA KIFAHARI HAPA NYALI BEACH ambapo wamekua wakiripot wanapoingia mmombasa. Then in the evining the are taken to KIEMBENI ESTATE WANAPO LALA.KWA UCHUNGUZI MZURI TULIWEZA KUJUA KUA KIKUNDI HIKI KINAUHUSIANO WA KARIBU SANA NA SHEHE MMOJA ANAYEDAI PIA UHURU WA MOMBASA.NA WANAKUTANA NAE NA KAMATI YAKE HAPA NYALI BEACH.

TAARIFA KUHUSU SILAHA: WATU WENGI WANASEMA MATAJIRI WANAOSAPOTI HIVI VIKUNDI WANATOKA OMAN NA WASHAANZA MPANGO WA KUGAWA SILAHA NDOGONDOGO KWA KILA MEMBER ANAYE AMINIKA. SILAHA UNAPATA BAADA YA KUPATA MAFUNZO HAPA MOMBASA. SILAHA ZIMEPITIA NA ZIPO NYINGI PEMBA HASA KUTOKANA NA UWEPO WA BANDARI BUBU NYINGI AND WEAK CONTROL OVER THEM.

WAPEMBA NDIO AMBAO WAMEKUA WAKIFANYA HII KAZI KWA MUDA MWINGI NA KITU KIKUBWA NI KWAMBA KATIKA MIKUTANO YA NDANI YA UAMSHO WALIMWAPIA KWA MUNGU MAALIM SEIF KUWA HATOKUFA BILA KUHUTUBIA UNITED NATION KAMA AKIENDELEA KUWALEA NA KUWASAPORT.
HAWA UAMSHO WAKIWA HAPA WANASEMA KUWA WAUNGUJA WENGI NI WAPUUZI WANAPENDA MUUNGANO NA WANAJIPENDEKEZA KWA WABARA.
WIKI 1 ILIYOPITA WAMEPUNGUA SANA HASA BAADA YA SERIKALI KUU YA KENYA KUONGEZA ULINZI ENEO HILI LA MWAMBAONI.
NDUGU ZANGU NDIVYO MAMBO YALIVYO HAPA MOMBASA NA HIVI VIKUNDI PACHA KIMOJA HUKO KINGINE HAPA.
 
members wapya weamekuwa wengi siku hizi mbili tatu au ni uoga kupost kwa ID zao halisi au ndo Tiss kazini..ni mtazamo tu sina nia mbaya
 
members wapya weamekuwa wengi siku hizi mbili tatu au ni uoga kupost kwa ID zao halisi au ndo Tiss kazini..ni mtazamo tu sina nia mbaya

mpalu hata mimi jambo hili nimeliona.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu kwa taarifa zako, ni Majeshi tiifu kwa Zanzibar yako teyari kugawa silaha kwa Raia wote, baadhi wameshaandaliwa kwa habari hizi ni za uhakika kabisa
 
Hata kama mtu anabadilisha ID, sisi tunachoangalia ni ukweli wa content ya alichokileta. CUF = Uhamsho= Urais watausikia kwenye radio tu.
 
Back
Top Bottom