Kwa kauli hii Rais Magufuli atashitakiwa kama Mwenyekiti wa CCM na sio kama Rais. Ni wangapi wameshapotea mpaka sasa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

TABIA HIZI NI ZAKE TANGU MWANZO.

Tabia ya Ubaguzi, Chuki, visasi, Ubabe na kutaka kusifiwa tu, kupendwa tu kwa Rais Magufuli sio ya leo baada ya kushindwa kwake kuendesha nchi na kulifanya Taifa kuporomoka kabisa kiuchumi na utawala wa sheria, la hashaa! Ni tabia yake ya asili kabisa.

Hapa ni kwanzo kabisa akikabidhiwa kijiti cha kuwa mgombea wa Urais kupitia ccm, huku akijua kwamba hakushinda lkn bado alichukia kwanini watu walionekana ku, penda mtu mwingine kuliko yeye na kama angelikuwa ndio yeye basi alngeliwafyeka wale wote ambao walimwimbia yule mzee wa kutangatanga, wana imani nae....

Mpaka wa leo hajabadilika, anaimarika kwenye hizi tabia ambazo zinalipasua Taifa, , uda utafika wa yeye kubaguliwa, ndipo atakapojifunza kivitendo kwenye mikono yake kwamba dhambi ya ubaguzi na visasi kwa kiongozi ni sumu kali ambayo madhara yake ni mabaya sana. Time will tell....

A. Ndambo
 
Kwani wamepotezwa na chama au vikosi vya Usalama vilioko chini ya Raisi.....utashitki wakuu wa vyombo vya Usalama au akiri jeshi mkuu......suala kuu kuliko yote ni kubadili katiba raisi na viongozi wa juu waserikali awondolewe kinga kushitakiwa baada wakati na kabla yakupata madaraka, hapo nidhamu katika wajibikaji itakuja umri kutoka juu itaisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ile kinga ina kikomo
 
Back
Top Bottom