Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
TABIA HIZI NI ZAKE TANGU MWANZO.
Tabia ya Ubaguzi, Chuki, visasi, Ubabe na kutaka kusifiwa tu, kupendwa tu kwa Rais Magufuli sio ya leo baada ya kushindwa kwake kuendesha nchi na kulifanya Taifa kuporomoka kabisa kiuchumi na utawala wa sheria, la hashaa! Ni tabia yake ya asili kabisa.
Hapa ni kwanzo kabisa akikabidhiwa kijiti cha kuwa mgombea wa Urais kupitia ccm, huku akijua kwamba hakushinda lkn bado alichukia kwanini watu walionekana ku, penda mtu mwingine kuliko yeye na kama angelikuwa ndio yeye basi alngeliwafyeka wale wote ambao walimwimbia yule mzee wa kutangatanga, wana imani nae....
Mpaka wa leo hajabadilika, anaimarika kwenye hizi tabia ambazo zinalipasua Taifa, , uda utafika wa yeye kubaguliwa, ndipo atakapojifunza kivitendo kwenye mikono yake kwamba dhambi ya ubaguzi na visasi kwa kiongozi ni sumu kali ambayo madhara yake ni mabaya sana. Time will tell....
A. Ndambo