Kwa Katiba ijayo hata Mbunge wangu Mnyika anaweza asipate ubunge!

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.

Kumbe sio ubunge! Ok so uwaziri kwake ni ndoto eti! Sasa sijui itakuwaje na inasemekana kila mkoa utakuwa na mbunge mmoja!
 
Mzee kaisome vizuri, mbunge anatakiwa kuwa na elimu ya form IV. Ila mawaziri shahada ya chuo kinachotambulika
 
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.

Rasimu ya katiba inasema kidato cha nne , wengi wepi hao ambao unawajua, mnapenda sana umbeya , Tume ilishalitabua hilo elimu yoyote aliyoipata mtu inategemea sana ni namna gani anaitumia kuliko kuwa na cheti kisichoweza kudhihirisha uwezo wa mtu

Mnyika atapotezaji mtu ambaye chuo kikuu amesoma ? achana na Majungu jenga hoja za msingi
 
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.

Umeisikia wapi? Tafuta rasimu ya katiba soma Ibara ya 117, kifungu kidogo (b), "....anajua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza na ana elimu ya kidato cha nne."
 
Risasi kwa kigezo hiki Sugu hatoki
 
Mijitu mingine ni mijungu tu imewajaa! Hivi unajua CHADEMA HAKUNA MBUNGE WA DARASA LA SABA! Ccm ni Wengi sana..SAID KESSY, LIVNSTON LUSINDA, STEVEPHEN NGONYAN, AIRO, NI WENGI SANA. sasa wewe unamfananisha mnyika na hao MBIGIRI..
MNYIKA AMESOMA SEMINARI KUANZIA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA 6 NI A KILA SOMO.. Hivi...@&%¥€¤$
 
Someni rasimu ya ndugu zangu sio blah,blah na chuki kwa mnyika.rasimu inasema ubunge ni kidato cha nne.kenya walitaka kuweka sifa za ubunge kuwa na shahada walishindwa
 
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.
Ukiona mtu anaanza hoja yake na maneno hayo kwenye red wenye akili watakuwa wamekuelewa.

Hivi unaifahamu vizuri CV ya Mnyika kweli au unaongea ili kujifurahisha tu mpwa?
 
Mnyika hana kichwa cha shule, ndio maana alikimbia chuo, tafsiri yake ni kwamba Mnyika ni KILAZA na Ubungo hatutaki mbunge KILAZA, kwahiyo hata kama RASIMU isingekuwepo, Mnyika bungeni asahau.
 
Maandazi na chai ya maziwa umewekewa isije poa bure make akili yako kula tuu ndio kunakuponza
 
Anyway tunaona michango yake ni mizuri kuliko ya wale ambao wana Phd
 
Mnyika hana kichwa cha shule, ndio maana alikimbia chuo, tafsiri yake ni kwamba Mnyika ni KILAZA na Ubungo hatutaki mbunge KILAZA, kwahiyo hata kama RASIMU isingekuwepo, Mnyika bungeni asahau.

Halafu nimekumbushwa eti Dar yote itakuwa na Wabunge wawili tu yaani ke na me?
 
vijiwe vingine huwaga hata sivielewi kabisaaa
sasa kama huyu ndyo kaandika nn hcho?
nwy uhuru wa kujieleza huo.
 
Wakati niko sekondari nikiambiwa kuna movie "blue print" nilikuwa sielewi mpaka nilipoenda kujionea mwenyewe siku hiyo.
 
Umeisikia wapi? Tafuta rasimu ya katiba soma Ibara ya 117, kifungu kidogo (b), "....anajua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza na ana elimu ya kidato cha nne."

hapa Lusinde na Majimarefu wameshajiandaa kukosa ulaji mbumbumbu hawa.
 
Huyu jamaa ndo wale wanaotumiwa na mafisadi.
Rasimu yenyewe ya katiba hata hajaipata lakini KAJAA KIHEREHERE TU CHA MAFISADI.
 
Back
Top Bottom