Kwa Katiba ijayo hata Mbunge wangu Mnyika anaweza asipate ubunge!

nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.

Kumbe sio ubunge! Ok so uwaziri kwake ni ndoto eti! Sasa sijui itakuwaje na inasemekana kila mkoa utakuwa na mbunge mmoja!
acha habari za kusikia unamzungumzia mnyika mwenye rekodi ya mwanafunzi bora tanzania unamwacha lusinde wa mtera na lameck airo wa rorya ambao ni madarasa saba!
 
Nimesikia sikia kuwa eti ubunge sasa utahitaji mtu mwenye shahada, ikiwa hivyo nadhani mbunge wangu Mnyika na wengi wa chama nishabikiacho, bila kuwa mwanachama, wanaweza poteza ubunge.

Kumbe sio ubunge! Ok so uwaziri kwake ni ndoto eti! Sasa sijui itakuwaje na inasemekana kila mkoa utakuwa na mbunge mmoja!
wengi watapoteza nyadhifa,
 
Umekaririshwa vibaya wewe! Au umetoka kupapaswa? Nani alikwambia kuwa kila mkoa utakuwa na mbunge m1?
 
Wasomi maprofesa ndio hao wanaopinga maoni ya kamati iliyokua imejaa wasomi waliobobea kwenye mambo ya sheria. Tanzania tuna watu wenye vyeti vingi lakini hawana tija kwa taifa zaidi ya kujali maslahi yao tu. Hata tukiwapeleka wabunge maprofesa hakuna tofauti na kuwapeleka majambazi wote ni waroho wa mali tu.
 
acha habari za kusikia unamzungumzia mnyika mwenye rekodi ya mwanafunzi bora tanzania unamwacha lusinde wa mtera na lameck airo wa rorya ambao ni madarasa saba!

leta source mkuu vinginevyo yatakuwa ni mahaba yako tu kwake!
 
Mnyika hana kichwa cha shule, ndio maana alikimbia chuo, tafsiri yake ni kwamba Mnyika ni KILAZA na Ubungo hatutaki mbunge KILAZA, kwahiyo hata kama RASIMU isingekuwepo, Mnyika bungeni asahau.

Toa kwanza hicho kilichofunika kichwa chako! Nadhani ndicho kinacho kufanya usiwaze mbali! Wewe kama si wa Chalinze, utakuwa wa Ujiji! Nishaona kama si kuhisi tatizo lako!!
 
Div I-7
Phy A, Chem A, Biol A, Civ A, Engl A, Geog A, Hist A, b/Math A, Kisw A, B/know A
IPI TAFSIRI KAMILI YA NENO KILAZA KWA MTU MWENYE MATOKEO KAMA HAYO

Hata hayo yote uliyoyataja hapo hawezi elewa! Lkni msamehe bure! Alisha kiri kuwa, alisikia! Hivyo yamkini alikuwa kwenye bao au mgahawani! Kule unakokuta mzee kavaa msuli na koti lenye viraka kila kona na juu yake kapiga kikofia kisicho jua maji takribani miez kama mi3 hivi, mikononi akisoma gazeti la TAZAMA huku akiwa ameligeuza up side down! Halafu wabishi ka nini!!
 
Back
Top Bottom