Kwa Kasi Ya kimbunga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,605
154,916
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
 
Ebwanaeee si matani mkuu nakuona umeingia kwa kasi ile mbaya
Karibu sana tukupatie msosi au kinywaji??
 
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee

Mh... kwa mwendo wa kuwajua wote hao na avatar yako mkuu, lazma ulikuwepo wewe:D
 
karibu jamani,karibu sana ss kwa lugha ya kwetu twasema votre accueil kifaransa lugha ya mama,الترحيب منكم lugha ya baba.
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
 
karibu yakhe, yaelekea mwenyeji wenye, ndio mambo ya ID ya pili au ulikuwa guest tu
 
Mh... kwa mwendo wa kuwajua wote hao na avatar yako mkuu, lazma ulikuwepo wewe:D

karibu yakhe, yaelekea mwenyeji wenye, ndio mambo ya ID ya pili au ulikuwa guest tu

ukiwa mgeni huwa unaenda kwa mwendo wa pole maana usililijua ni kama usiku wa giza shurti uende ado ado.....hamna ugeni hapo!!!

since umebisha hodi basi karibu!!
 
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee

Karibu sana umbea kusema wenzako, manung'uniko, uache hapo hapo mlangoni kabla UJAKAA JAMVINI
 
mimi leo umeifanya ijumaa yangu ikamilike vizuri Prisoner umenichekesha sana!!! I hope PM imeenda sasa

nafurahi kuona hapa umekuwa mwenyeji zaidi!!! safi sana!!
 
Mkubwa BHT si unajua tena mashkolo mageni!! sasa usijari tudogo tudogo tchaoo nashukuru umenisave sana mkubwa
 
He... jamaa wa kasi ya kimbunga tayari tena keshapotea?? kweli dunia kali:confused:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom