Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

Matusi ya nini bro? Nimefanya kazi huko nawajua. Ila sasa uandishi wako hauna context
kwa ni tusi liko wapi hapo?....uongo!! Yaani mie nina matusi? Niombe radhi! Heshima zangu zoote hizi? Kusema mtu ulivo siyo tusi....
 
Hebu fuatilia history za nchi zilizokuws na watu wengi baadaye ndo maendeleo yakawafuata like China India Nigeria Brazil si unaona zinakuja juu kiuchumi.
Mkishakuwa wengi afu umasikini upo na njaaa ndo akili kumkichwa zinakuja watu wanaumiza akili mpaka wanatoboa.
Usiwe brainwashed na wazungu mkuu.
Ivi unajua kuwa eneo la Norway kwa Tz inaingia Mara 5 Ila sie idadi yetu tunaingia kwao Mara sita.
Mkishabanana hata eneo la urithi likakosa ndo kunakuwepo na akili za kuwaza nje ya Box.
Huku mbona maliasili zipo Sana mbuga kubwa kuliko zote duniani, cows ,migodi na ardhi mzuri kwa kilimo.
nakazia hapa .watoto watakaozaliwa ni kweli watakuwa maskini lakini ndio hao hao watakaopambana kuutokomeza umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom